Tumekwama Wapi? Na Tufanye nini tusonge mbele kufikia Malengo ya Taifa?

MPadmire

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
3,928
3,225
Hizi ni DATA ZA serikali

Tangu mwaka 2014

Pato la Taifa: 17%

Forex ni 25%

Projection 2020:-

PATO 30%

FOREX 40%

Je Kwa nini hadi 2017, namba zimebaki hizi hizi...Kwa nini hazikuwi?

Tumekwama:

Kenya ni Sungura na Tanzania ni li Tembo -- Tunaweza kusema tunashindana na Kenya?

Kwa nini Kenya watushinde au washindane na Sisi?

Hivi Kenya wana Mlima Mrefu kuliko yote Africa?

Kenya kuna Ngorongoro?

Selous mbuga kubwa kuliko zote Africa lakini haina watalii

Serengeti ni kubwa mara dufu ya Masai Mara

Wachangiaji hapa JF, please changia kwa kufuata haya maswali 2: Sio Lazima uchangie

---Tumekwama Wapi?

Na Tufanye nini tusonge mbele kufikia Malengo ya Taifa?
 
Tuache Siasa

Weka mapendekezo

Pendekezo langu: Kutangaza Utalii zaidi...

Na wenye mapendekezo andikeni hapa
 
Hilo litawezekana iwapo tuta miliki Makampuni ya Utalii na Hotel kwa % kubwa kushinda jirani zetu ambao tunashindana na wakiwa wamewekeza huku kwetu kwa % kubwa na hivy pato la kuchangiwa na uwekezaji mkubwa waliofanya huku kwetu.

Pil ni wenzetu wana team ya siri(Secret intelligent network) inayooperate hadi Ulaya na kazi yake ni mbili km si tatu.

Kufanya propaganda zenye goal la khujumu biashara yetu ya utalii .Hapa ni kuhakikisha kila inapokaribia misimu ya Utalii wanazusha uvumi fulani utakaoharibu imani ya wageni kwa makampuni ya kwetu.

La tatu, wameweka mapandikizi kuanzia Balozi,Wizara zetu,Wanasiasa na kwenye Mashirika yetu ya ndani. kazi ya hawa pandikizi ni kuhujumu efforts zinazofanywa na gov. yetu,kutoa siri ya kile tunachopanga kufanya/kinachoendelea nk.

Kwenye makampuni watahakikisha kil mgeni Maarufu akija kutakuwa na jambo fulani ama atafanyiwa au kuonyeshwa aondoke na bad image fulani juu ya hospitality kwenye kampuni za ndani au ha Airport .

Ukiongea na Tour operators wetu pamoja baadhi ya wageni wasiopenda kudanganywa watakueleza mengi sana tunayofanyiwa na hawa wanajumuiya wenzetu.
 
Back
Top Bottom