Think2
JF-Expert Member
- Jan 3, 2025
- 2,204
- 3,983
Habari za muda huu wanajf, once again nimepitia kitabu cha bwana kabendera mengi alioandika ni maisha ya kibinafsi ya aliekuwa rais wetu JPM .
Nimekaa nikatafakari yalioandikwa nimeona kabisa kuna mpango wa kumchafu JPM hasa ndani ya chama cha CCM ambapo kuna vikundi ambavyo vinamuelewa sana JPM kuliko SSH.
Kabendera ni kama jirani mwenye kimbelembele anaependa kufuatilia majirani wenzake wanaishije , swala la mimi kumpiga mke wangu nilakifamilia na nikawaida hasa katika makabila ya kanda ya ziwa haswa wasukuma na wakurya , mwanamke usipompiga hasa kwa makabila hayo atakudharau huenda uncle aliona kabisa heshima yake inapotea ikabidi airudishe .
Katika uongozi wake JPM amefanya mengi mazuri miradi mikubwa tumeiona kwake amesafisha mafisadi lkn sasa hayo mafisadi yamerudi ndani yanakula yanakunywa bila kujari na kutatua kero za wanuka jasho nchi inaelekea kuzimu.
Mikataba mengi mibovu alifumua na alizungumza waziwazi kuwa baadhi ya mikataba ni yaunyonyaji, pamoja na mengi aliyoyafanya JPM lakini kulingana na kitabu hayo yote sio kitu ama kweli tenda mema nenda zako usingoje shukurani.
Kwanini awe JPM na kwanini kitabu kiandikwe kumhusu yeye tu kwani JPM ndo Rais wa kwanza kuiongoza Tanganyika wamepita marais wengi tu tena wengi wao wamefanya madudu ambayo JPM alijitahidi kuyasawazisha, leo anaonekana ni mubaya katili.
Bandari zinabinafsishwa , bei za mazao zinapanda holela holela ,miradi inasuasua , mashirika ya serikali yanendeshwa hovyo
Je ? JPM ni mubaya kuliko aliesaini mikataba ya uchimbaji madini kwa miaka 100. Shame on you kabendera
Maisha yakininafsi hayatuhusu sisi hatuwezi tukayaamini kwasababu jajatoa ushajidi wowote nia yako tumeshaijua na mioyo ya Watanganyika tutaendelea kumuenzi JPM, muache apumzikenkwa amani huko aliko.