Tumekubali kutawaliwa au kubakwa?

w

Wapo wanaoamini kuwa hiyo ndiyo njia ya kuharakisha maendeleo!
Hawana fikra. Watu ambao hata uweke vipengele vya wazi vya Katiba ya nchi vinavyobakwa wao wanapanua midomo kutetea ubakaji utawaitaje kama si 'watu wasio na akili kama Wagalatia waliorogwa.'
 
Hawa ni vijana wakusikiliza maagizo toka juu, wanachoamini boss ndio katiba na sheria
 
Siasa kama historia inaweza kutumia kama rejea lakini pia inaweza kutumia kama somo LA siku zijazo.
Usije shangaa baadae au punde tu nchi zitaiga siasa zetu zinazoendesha nchi.
Vitabu vinaandikwa kila iitwapo Leo na kitabu kizuri ni mile kilichoandikwa kwa kufuata uhalisia na si nadharia au nukuu za wanaphyfilosophia.
 
Kwanini tuishi kwa ndoto za masika?
 
Back
Top Bottom