Tumefikaje hapa?

Tuna watawala waliojaa kiburi, tamaa na ulafi wa kiwango ambacho hakijawahi kuonekana, kiasi cha kuwafanya watumwa wa pesa na kuwatia ukichaa na upofu, kiasi cha kupoteza uwezo wa kufikiri maamuzi wanayoyafanya leo.
Wanajua vzr madhara ya kile wanakifanya, tena huenda kuliko unavyojua wewe, lkn je? Wao inawaathiri nini na vizazi vyao ilhali wana investments zisizoisha, hadi hukoooo ughaibuni wana assets
 
She is one among then, she knows everything! Ndio maana akachagua kumkejeli aliekuwa boss wake
 
Kwamba wapewe tu maana tumeshindwa.
NDIO ukweliii tukishindwaa si tunaitaa watu waje kutusaidia kuongoza maan kusema hatuna hela ya kutengeenza ile bandari ni vitukooo...! kuwekeza kwenye bandari tumeshindwaa no wonder DOLLAR HAZIPOOO... hata kuexport hatuwezi.
 
Hivi si tuliambiwa wazo la bandari ya Bagamoyo limefufuliwa sasa hii ya kuuza bandari zote za Tanganyika mpaka za Kigoma limetokea wapi


Kwa mawazo yangu nchi hii kwa sasa imeishiwa fedha kabisa na huenda hata mishahara inapatikana kwa njia za aibu(kudanga)
 
Tukiingia mikataba tata,nao wakatuletea utata,tuna jeshi lenye uzalendo na uwezo wa kupambana na hawa watu?
Au ndio nchi itakuwa kama Sudan?
 
NDIO ukweliii tukishindwaa si tunaitaa watu waje kutusaidia kuongoza maan kusema hatuna hela ya kutengeenza ile bandari ni vitukooo...! kuwekeza kwenye bandari tumeshindwaa no wonder DOLLAR HAZIPOOO... hata kuexport hatuwezi.
Ni mambo ya kusikitisha sana.
 
Inawezekana kabisa.
 
Yani Hilo la wafanya kazi wa bandari walaaahi wajiandae Nina uhakika Kuna mass retrenchment inakuja hapo!?? Wengi wataondoka watakuja wafilipicho cheap labour ya hatari !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…