Tumefika patamu Force Account, Waziri kusimamia vibarua!

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
18,618
Reaction score
30,930

Tumefika patamu katika serikali kusimamia miradi.
Sasa Mawaziri wanasimamia mafundi!!!

Hapo Waziri Ndalichako akimkemea fundi ujenzi.

Tumeonya Serikali kufikiria kuendesha miradi ya maendeleo kwa verified institutions zenye weledi wa project implementation lakini masikio yamezibwa.
Hivi ni vituko.
 
Namkubali sana Ndalichako....tulienda wizarani kwake akaahirisha safari ya kwenda msibani akatuhudumia.

Mara ya pili aliahirisha kuugua akatoa dripu za maji akaja kutuhudumia shida yetu. Ntawashangaa sana wana Kigoma kama wasipompa jimbo.

Huyu ndo mtu anayefaa kuiongoza Kigoma sio yule wa kazi na bata.
 
Her trumpet or Herself!?
 
Mkuu unahairisha vipi kuugua, na mimi niitumie
 
Hizo verified institutions unazijua uchafu wake? Bora kuajiri fundi wa mtaani kuliko taasisi zilizojaa wataalamu hewa.
Inatisha kukutana na Eng.wa taasisi akiiba nondo na cement.
Tatizo tunajidai kugundua njia mbadala za project implementation tusizozijua.
Usishangae mhandisi mwizi Afrika maanakuna maraiswezi vile vile kama Al Bashir wa Sudan aliyekamatwa na mabulungutu heavy.

Mawaziri lazima wajikite kusimamiainstitutionalised administration ili kupata results.
 
Mara ya pili aliahirisha kuugua akatoa dripu za maji akaja kutuhudumia shida yetu.

Nimeioenda hii

Lakini kubwa zaidi tazama anavyowazungusha wanaume kama pia hapo kwenye msafara wake, nina mashaka huenda wapo attention kuna madudu wanayahofia naye hajayagundua😅😅😅
 
Tatizo tunajidai kugundua njia mbadala za project implementation tusizozijua.
Usishangae mhandisi mwizi Afrika maanakuna maraiswezi vile vile kama Al Bashir wa Sudan aliyekamatwa na mabulungutu heavy.

Mawaziri lazima wajikite kusimamiainstitutionalised administration ili kupata results.
Acha blah blah wewe
Tulizoea kuchekeana,wenzetu china wananyonga kabisa
 
Tatizo ni watendaji mkuu. Watanzania bila kuwasukuma hawaendi
Danganyaneni tu,tatizo si watanzania,tatizo ni mfumo wa uendeshaji wa serikali,watu wenye akili zao na creative ni ngumu kufanya kazi na serikeli, why is Mchechu or prof Ndulu by the way
 
Tatizo tunajidai kugundua njia mbadala za project implementation tusizozijua.
Usishangae mhandisi mwizi Afrika maanakuna maraiswezi vile vile kama Al Bashir wa Sudan aliyekamatwa na mabulungutu heavy.

Mawaziri lazima wajikite kusimamiainstitutionalised administration ili kupata results.
Naelewa umuhimu wa taasisi.lakini taasisi zilifanya wrong recruitment toka kwa poor trained group so zimejaa wrong people with fake certificate
 
Tatizo tunajidai kugundua njia mbadala za project implementation tusizozijua.
Usishangae mhandisi mwizi Afrika maanakuna maraiswezi vile vile kama Al Bashir wa Sudan aliyekamatwa na mabulungutu heavy.

Mawaziri lazima wajikite kusimamiainstitutionalised administration ili kupata results.
Institutions nyingi hazina watendaji wanaoguswa,tizama halmashauri inashindwa kugundua ubovu katika kujenga while mpaka ndalichako Stoke dar kuja kuwaambia wasijengee tope bali mchanga??!!?
Kwakweli Rais na mawaziri wanakazi ngumu sana maana hata madiwani wanashindwa kuona ubovu kwenye miradi yao mpaka rais ama waziri mkuu afike!!
Namshauri rais afungue tovuti maalumu ya malalamiko kutoka kwa wananchi kwenda ikulu na waajiriwe watu maalumu kuchambua na kumfikishia moja kwa moja rais,vikao vya baraza la mawaziri viwe vinapitia yale mazito yaliyoibuliwa na kuchukua hatua stahiki papo kwa papo.
 
Namkubali sana Ndalichako....tulienda wizarani kwake akaahirisha safari ya kwenda msibani akatuhudumia.
Mara ya pili aliahirisha kuugua akatoa dripu za maji akaja kutuhudumia shida yetu. Ntawashangaa sana wana Kigoma kama wasipompa jimbo.
Huyu ndo mtu anayefaa kuiongoza Kigoma sio yule wa kazi na bata.
Pumbavuuu Sana!!
 
N
Nimeioenda hii

Lakini kubwa zaidi tazama anavyowazungusha wanaume kama pia hapo kwenye msafara wake, nina mashaka huenda wapo attention kuna madudu wanayahofia naye hajayagundua😅😅😅
Ni kweli mkuu, hapo inaonekana kuna vitu vinafichwa.
 
Back
Top Bottom