Pamoja na mazuri (kama yapo) ambayo yamefanyika kipindi hiki/awamu hii, moja liko wazi: ni kufanikiwa Kujenga chuki, deep rooted chuki among makundi ya watanzania.
Tujitafakari kama taifa kesho kitatokea nini?
Kitu kizuri ni kuwa yeye mwenyewe anachukiwa zaidi ya anaotaka wachukiwe...labda walio karibu nae hawamuambii ukweli. Ndio maana watu wanamshangaa sana anapotaka wamuombee