"Xenophobia is selective. Not all people are
subjected to violence. When they ask you where
are you from and you tell them that you are a
Tanzanian, they do not touch you. Mr.Membe
Said
Anataka kutwambia kuwa wazulu wako kama Alshabab kuuliza kama wewe ni muislam au mkristo.. Sasa fikiria mtu kama BM ni barozi South afu mnakwenda kuomba msaada wa kibarozi hali ingekuwaje?
Huyo ndio Membe bwana aliyeneemeka na nepotism,halafu jitu kama hili nalo linataka uraisi,keeli Kikwete kainajisi taasisi ya uraisi na nchi yenyewe!!!!