eddy brown
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 414
- 314
Viongozi mnajua dhahir kua mnacheza na akili zetu kwa hamjali hisia zetu.Ukweli hakuna barua ya rufaa iloenda fifa ila tu ni siasa ya kutufanya tusahau mlio tufanyia msimu kwa kusubiri point 3 za mezani.Na pia mlijua bila kufanya hivyo mngeyakimbia makazi yenu kwani tusinge kubali.Kwa hapo mmetuweza kwani baada ya wiki hata hasira zetu zitaisha,lakini sio uungwana na kama ni hivyo ondokeni.