Tumechoka na ahadi za kuanza rasmi magari yaendayo kasi

bampami

JF-Expert Member
Nov 5, 2011
5,699
4,116
Habarini za zenu!

Serikali imekuwa ikihaidi kila siku kuanza rasmi mradi wa magari yaendayo kasi, na hatuoni ukiamza rasmi zaidi ya kila siku kuona eti wanafanya mazoezi mazoezi....kama mradi haujakamilika msitupe ahadi za uongo...

Hayo mazoezi yataisha lini manake toka mwaka jana tukiwa kwenye kampeni, utaanza utaanza kila siku utaanza utaanza.....aghhhhh.....tumechoka sasa,,,

malalamiko kwa niaba ya wanainchi wakaao kimara na mbezi!!

Ujumbe uwaifikie wahusika
 
Serikali ya wasaniii wanaopenda kutembea name camera kufukuza watumishi wanapotaka wao kukosolewa wanazuia camera nimelichukia hili li serial I kuliko zote zilizopita watu wanafiki ni wabaya sana jpm ni mnafiki mno
 
Juzi walikuwa wanafanya mazoezi wanapita watu kibao kituoni wakati mvua inanyesha na kuna uhaba wa daladala, watu wanaziangalia kwa hasira halafu madereva wanatabasamu tu eti wako mazoezini, jamani?! kwani wakifanya hayo mazoezi huku wamebeba abiria kuna tatitzo?, au garama za mazoezi zitapanda?! nchi hii sijui lini itakomaa.
 
Unashangaa hiyo tu..!! kwani umeme wa gesi uliishia wapi..!? eti. "mgao wa umeme utabaki kua historia." kweli bongo movie haijafa
 
Back
Top Bottom