Tumechoka kusubiri TCU na NACTE!

RJ45

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2014
Posts
340
Reaction score
119
Habari zenu wana jamvi?!

Uchaguzi ndo huo umeisha tunasubiri matokeo lakini kwa upande mwingine tarehe za vyuo kufunguliwa ndo zmewadia lakina cha kusikitisha kuna watu mpaka sasa hawajui nini hatma yao kutokana na baadh ya vyuo kuchelewesha majina na baadhi ya watu hasa wa nacte kutoona majina yao kwenye vyuo walivyopangiwa.

Mpaka sasa watu wengi hatujapata admission letters na hata website za baadhi ya vyuo hazfunguki mf. NIT
wengine ndo wameambiwa wasubiri comfirmation za vyuo walvyopangiwa hadi leo.

Je, nini kifanyike ikzngatiwa kwamba udahili vyuoni unaanza!
tumechoka kusubiri!
 
Pole sana mkuu, kuwa mvumilivu tu
 
asanteni wakuu!
yani kiukweli hawa jamaa wanatupa stress ajabu!
 
hivi kuna mwenye info zozote kuhusu NIT dar?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…