Tumechoka kuandamana (sms sent)

Umerogwa ww ba bwana ako.. Cjui ke au me utajua mwenyewe

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Pole sana kwa kuchoka kuandamana. Wenzako kuhusu Katiba wala hatujaanza kuandamana bado, wewe umeshachoka. Tuna usongo. Tutaandamana hadi kieleweke kama itakuwa kwamba hiyo ndiyo njia pekee ya kupata Katiba ya Wananchi kama hali inavyoashiria sasa.

I warned you dogs.....
This time you will face a reprisal (complete annihilation). When comes to our NATIONAL SECURITY, NATIONAL STABILITY, AND OUR FUTURE AS A NATION....... hatucheki na kima.
Anzisheni then you will see the response.
Sisi ni wengi....more than TWO THIRD na vyombo vya dola viko nyuma yetu
 
Dah! nikihisi maandamano yanakuwa kwa lengo hili basi huwa nabaki home natulia, ili iweje sasa na hiyo jumuiya ya kimataifa...mie nilidhani ili jumuiya Tabora au Nachingwea ifahamu ...kumbe ni kwa maslahi?
 
Nahisi unajitoa ufahamu tu si zaidi ya hapo! external pressures such as NO Fly Zone, political sanctions huwa zinasaidia kwa njia moja ama nyingine Mkuu... Ndiyo maana kuna Umoja wa Mataifa ambayo hufuatilia kwa karibu mambo ya haki za binaadam ...
 
and nadhani hawa jamaa wamefikia hatua ya kuvimba vichwa, nadhani yanahitajika maandamano ya kupinga maandamano yao, na watu tujitokeze tunaandamane tuwalazimishe warudi bungeni wakamalizane huko huko kwenye "jumba kubwa" - huku mtaani si eneo lao, huku ni kwetu watuache tufanye kazi zetu nao warudi kazini kwao Dodoma
 
And then what? mie sijaona bado kilichoshindikana, hao jamaa warudi ofisini kwao "dodoma" wakamalizane, sisi tuna mambo mengi sana ya kufanya - zaidi ya hio katiba, hata hio international community itawashangaa wamekimbia meza/dialogue/ debate bungeni wao wanakuja kufanya fujo huku uswahilini? wenyewe walijingiza choo cha kike/kiume bila kujua - tena wakirudi kwa wananchi haki yangu watechemsha
Nahisi unajitoa ufahamu tu si zaidi ya hapo! external pressures such as NO Fly Zone, political sanctions huwa zinasaidia kwa njia moja ama nyingine Mkuu... Ndiyo maana kuna Umoja wa Mataifa ambayo hufuatilia kwa karibu mambo ya haki za binaadam ...
 
Pole sana kwa kuchoka kuandamana. Wenzako kuhusu Katiba wala hatujaanza kuandamana bado, wewe umeshachoka. Tuna usongo. Tutaandamana hadi kieleweke kama itakuwa kwamba hiyo ndiyo njia pekee ya kupata Katiba ya Wananchi kama hali inavyoashiria sasa.

We andamana kwani ukifa au ukivunjwa kiuno sisi inatuhusu nini
 
Kama kuna mawakala wao humu ndani wawaeleze wachukue hatua kwa ushauri Wako huu.

UKAWA wanafanya mambo kama vichaa, safari hii hawajapa kuungwa mkono na mtu yeyote, hata Vijana wa Chadema wenyewe wanakili kuwa viongozi wao wamechemka na move mfu.

UKAWA MMEBUGI MEEEEEEENNNN.
 
Vijana tufumbue macho tuwaone hawa viongozi wetu wanavyotutumia kama mitaji yao wao wamekula posho ya tsh18 milioni kila mmoja wanataka sisi tuandamane bila chochote huu ni ujinga wa hali ya juu.
 
Huu uzi umetolewa na li-Interahamwe...Mainterahamwe akili zimekaa kama maisha ya funza kazi uwendawazimu tu.! mxiuuuuuuuu! mavi ya bata!!!
 
What the motherf#ck have you written!!!...Stay there to watch the greatest peoples' power ever...!
 
Shut the fu...k up you DOG...ninyi akina nani!??? eti vyombo vya dola vipo nyuma yenu vinawafanya nini!? Who is the nation BTW!?? Umevurugwa.
 
Data zako za Tume ya Uchaguzi hazina mashiko! Wewe tuambie pale chalinze kuna wananchi wapiga kura zaidi ya 92 elfu... Hao 72 elfu ambao hawakupiga kura ilikuwaje? Kwanini? Jibu rahisi sana! Mfumo wenu daftari na shahada ndio tatizo! Shahada mmezinunua kwa fedha za sembe! Ruhusuni watu wapige kura kama katiba inavyosema alimradi wanaweza kuthibitisha uhalali wao muone kama kiama hakija wakumba...
 
Hawa wanawakirisha maoni ya wananchi bila kujali ni wananchi wa chama gani ama wasiyo na chama chochote.
 
Hata mm nmechoka kuandaman bhana

Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
 
unajua nashangaa sana, UKAWA wanaamini maoni ya Tume ya Warioba yametoka kwa wananchi - ambao wanataka serikali 3, sasa wanahofia nini iwapo watashindwa na kura za wengi (CCM - a.k.a intarahamwe "according to Lipumba)si katiba hio itapigiwa kura na wananchi hao hao waliotaka serikali 3? So kwa nini UKAWA warudi kwetu ilihali wakati bado haujafika?
 
Tatizo la wapinzani nao ni walewale, wakiitwa na ma interahamwe huko magogoni wanatia timu! Toka mwanzo hawakustahili kushiriki kwenye bunge hili lenye ma interahamwe wengi kuliko maelezo! Tatizo mshiko wa 300000 kwa siku.

kwani sasa hizo hazipo tena au wametosheka..
 
Wanaoshangaza ni CCM wanasema yale siyo maoni ya wananchi ni ya Waryoba wakati wanajua kuwa rasimu itapelekwa kwa wananchi ili ikapigiwe kura ya kukubali au kukataa wao wameamua kuikwamisha hata kabla ya kuwafikia walengwa.
 
Vijana tufumbue macho tuwaone hawa viongozi wetu wanavyotutumia kama mitaji yao wao wamekula posho ya tsh18 milioni kila mmoja wanataka sisi tuandamane bila chochote huu ni ujinga wa hali ya juu.

unataka kulipwa bei gani ili udai haki yako na watanzania..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…