Tumechoka kuandamanishwa na wahuni,tumechokaaaaaaaaaaa
warudi bungeni ndiko katika inapojadiliwa,
posho wale wao,
sie tuandamane
Kwanza naomba mnielewe maandamano ni haki ya kisheria na sina mashaka na hilo.
Lakini inavyooneka suala la katiba limesha nunuliwa na wanasiasa.
Na kwavile wanasiasa hawaaminiki(rejea kauli ya ZITTO)
yawezekana wakawa waongo,walaghai,walubuni au waponzaji.
Tunaomba warudi mezani au kama wanataka kuandamana,basi waende wao na familia zao .
Tumeshaandamana sana lakini linapoku suala la chai ya magogoni tunajikuta tumerudi kulekule alikosema ZITTO.
Tulia dawa iingie (by H.KIGWANGALA)
Maandamano ni haki lakini pale yanaporuhusiwa kisheria.
Mkiandamana bila ruksa mtaishia kufariki na kuacha familia zenu vibaya uku wao wakienda kupoozwa kwa juice na chai magogoni.
Kwanza naomba mnielewe maandamano ni haki ya kisheria na sina mashaka na hilo.
Lakini inavyooneka suala la katiba limesha nunuliwa na wanasiasa.
Na kwavile wanasiasa hawaaminiki(rejea kauli ya ZITTO)
yawezekana wakawa waongo,walaghai,walubuni au waponzaji.
Tunaomba warudi mezani au kama wanataka kuandamana,basi waende wao na familia zao .
Tumeshaandamana sana lakini linapoku suala la chai ya magogoni tunajikuta tumerudi kulekule alikosema ZITTO.
Tulia dawa iingie (by H.KIGWANGALA)
Hao viongozi wanaowakilisha watu milioni 30 ni wepi? Ni hawa hawa akina Mbatia, Lipumba na Mbowe ambao idadi ya wanachama na wafuasi wao hawazidi milioni tatu? Au una maana gani? Hakika siasa za kilaghai UKAWA zimewaponza. CCM tuko wengi ndani na nje ya bungePengine unapoint ya maana lakini USHABIKI na utoto umeharibu maudhui ya bandiko lako... Maandamano hufanyika kwa ajili ya kufikisha ujumbe kwa walengwa ikiwemo Jamii ya kimataifa!! Kuandamana ni haki ya msingi kwa kila mwananchi wala haihitaji kibali kwani vyombo vya usalama kazi yao ni kusaidia maandamano yafanyike kwa amani... suala la Maridhiano (wewe unaita juicy) ni muhimu sana kwa ustawi wa Jamii yetu! Haiwezekani Rais wa watu million 5 akaacha kukaa meza moja na viongozi wenye kuwakilisha watu zaidi ya million 30! Nchi haitakuwa salama... Binafsi nawasifu hao waliokwenda kunywa juicy kwa maslahi ya wananchi wao!... Pasipo maridhiano umoja na utaifa wetu utatoweka kama nuru ya mchana wakati Giza linapoingia... I bet wewe huna mpenzi ama umeachika ndiyo maana huwezi kuona umuhimu wa ku - compromise ili mambo yaende mbele...
Hakika Mkuu, kwanza hawa wapinzani wajinga kweli. Wameshindwa kuchangia watu walioathirika na mafuriko halafu wanajifanya eti wanapeleka chama kwa wananchi.Compromise ipo bungeni.rudini mkamalizie wajibu wenu mliotumwa.