NANI HAJAMWELEWA MWENZAKE?
Mambo ambayo yametokea nchi hii kwa juma hili yanaonekana kuchanganya wengi nami yawezekana ni miongoni mwa kundi hilo ambalo limejichanganya. Baada ya kufuatilia japo si sina nimegundua yafuatayo:-
1. Kundi la wanafunzi toka St Joseph lilirudishwa nyumbani kwa kusoma chuo kikuu tena wakiwa na mkopo isivyostahili. Hii imesababisha bodi ya mikopo kutumbuliwa pia
2. Kundi la wanafunzi toka UDOM ambao kwa sababu ya mgomo wa walimu na serikali kushindwa kutatua kwa Wakati ikaona warudi nyumbani hadi tatizo litakapokwisha.
3. Wabunge kadhaa wa upinzani kupewa adhabu kwa kushindwa kutii kiti cha spika na kanuni walizotunga wao zimewahukumu. Shida yangu ni jinsi haya matukio matatu yamewekwa pamoja. Je ni sahihi kwamba yako pamoja au sisi ndo tunayafanya yaonekane yako pamoja ili tupate nguvu ya kutenda hoja.?