Fabian the Jr
JF-Expert Member
- Aug 4, 2012
- 756
- 738
Ifike mahali watu tuwe responsible kwa maamuzi yetu tunayofanya. Hivi wewe unalima mpunga unategemea utavuna karanga?
Kila unaekutana nae sasa ivi ni kulaumu tu, oooh serikali inafanya mambo kwa kukurupuka, serikali inavunja katiba, serikali bla blaa, kwani wakati wa kampeni waliahidi nn? Wanatekeleza ilani za vyama vyao, kwani tulitegemea nn tulipokuwa tunachagua?
Tukiambiwa kwamba watanzania sisi ni wajinga tunakasirika mpaka basi, lakini je, huu sio ujinga kweli? Watu walipokuwa wanazungumza mabadiliko ya mfumo hatukutaka hata kusikia lolote zaidi ya kutoa matusi tu, alafu leo tunaanza kulalama, ooh serikali....
Nimekutana na rafiki yangu leo ambae kala sana pesa za uchaguzi zile, na kuvaa sana zile t shirt na suluari, hakutaka kusikiliza wala kuambiwa lolote yeye alichokuwa anakijua ni kupinga tu mpaka mapovu yamtoke, leo nakutana nae analalamikia serikali, maisha yamekuwa magumu, huu sio ujinga ni nini?
Tumechagua hovyo hovyo tusilalame hovyohovyo.
Fabian Izukene