Tumeanza na Mungu

mandokwa

JF-Expert Member
Jun 5, 2013
620
865
Hii kauli ya tulianza na Mungu na tutamaliza na Mungu huwa naisikia wakati wa kuelekea chaguzi...hasa upande wa CHADEMA. baada ya uchaguzi huwa siisikii tena....

Does it mean hajtujamaliza na Mungu ? au huwa mnamaanisha nini?
 
Mbona kampeni zilishaisha kwani siku hizi unamwona maghufuli anapiga push up, kaacha kwa kuwa kipindi cha kampeni kimeisha, huu ni muda muafaka wa vijana wa ccm kuelezea umma wa tz na dunia nzima mazuri anayofanya maghufuli, tatizo lenu hamtaki kufanya kazi hiyo mnataka vijana wa upinzani ndiyo wafanye
 
Umeelewa swali ndugu?
 
Umeelewa swali ndugu?

Sijui hujaelewa nini tumemaliza na mungu na hilo hata viongozi wa upinzani walishasema, kwa kifupi hii amani tuliyokuwa nayo baada ya uchaguzi ni uthibitisho kuwa tumemaliza na mungu
 
Hii kauli ya tulianza na Mungu na tutamaliza na Mungu huwa naisikia wakati wa kuelekea chaguzi...hasa upande wa CHADEMA. baada ya uchaguzi huwa siisikii tena....

Does it mean hajtujamaliza na Mungu ? au huwa mnamaanisha nini?
Kwa mlio anza na shetani haina maana yoyote.Shughuli huwa ni kubaka demokrasia tu
 
Hii kauli ya tulianza na Mungu na tutamaliza na Mungu huwa naisikia wakati wa kuelekea chaguzi...hasa upande wa CHADEMA. baada ya uchaguzi huwa siisikii tena....

Does it mean hajtujamaliza na Mungu ? au huwa mnamaanisha nini?
CCM = Msukule
 
Back
Top Bottom