Tumeanza Kusherekea Ushindi

Marco Polo

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2014
Posts
13,213
Reaction score
20,988
Mm, familia yangu na watu wengi wa karibu tumeanza Kusherekea mapema ushindi wa Dr John Joseph Pombe Magufuri... Kama unajihis Kushiriki karibu Forodhani Garden kesho saa 2 usiku, huduma zote zimelipiwa.... Dalili zote za ushindi zimeshatimia njoon batani.
 

then what?....
 

Rais Lowasa atosha hana mpinzan
 

Ebwana mkuu ningekuwa pande za dar ningetimba tu hapo mana hakuna namna! Ila maneno yako yanawachomaaaaaa!!!!
 
sasa hivi kuna watu wanapanga kuja kupalipua Forodhan garden

Wacha Waje tu hamna shida mbona, maana kuna watu wametoka depo juzi juzi tu huwa fields zao wanafanyia kwenye miili ya watu... Hichi ndio kipindi Chao cha kujidai kwa kula vichwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…