PreGE2025 Tumeaminishwa, kwamba Wabunge kazi yao ni kuletea wana Jimbo Maendeleo, na sio kutunga sera za nchi, case study Charles Kimei Mbunge wa Vunjo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

BLACK MOVEMENT

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2020
Posts
5,487
Reaction score
14,064
Ukifuatilia Charls Kimei bungeni michango yake huwa ana hoja sana huwezi mlinganisha na wakina Abood ambao kwanza hawaongeagi au wakina Kibajaji ambao wanaongea utumbo na still jimboni kuna porverty ya kutisha.

Hii sera ya kugeuza kwamba Wabunge ndio wanao leta maendeleo tena Jimboni sio nchi nzima, na sio Serikali. Hii inawaletea sana shida baadhi ya wabunge hasa kule ambako raia jitambua. kule wasiko jitambua ni furaha kwa Mheshimiwa.

Tujiulize kwa kina Ndugai kuna maendeleo gani pale jimboni kwake? usha sikia raia wanapiga kelele? nenda huko kanda ya ziwa kwao Msukumu kuna umasikini sana ila raia wako kimya huwezi wasikia kamwe kwa nini? Wanada nganywa na mifuko ya cement na Bati na gari za kubeba wagonjwa.

Bunge kokote kule Duniani ni kutunga sera ambazo hizo sera ndio huletea wananchi maendeleo na sio vinginevyo, Ila sasa Tanzania ni kinyume chake yaani tunaamini kazi ya maendeleo ni ya Mbunge na sio Serikali tena maendeleo ya jimbo.

Ndio maana sasa wakina Abood huwezi wasikia Bungeni ila kule mtaani wanatoa michango mara Mabasi yanabea waombolezaji na raia kwa sababu ni wajinga wao wanaona ni maendeleo.

Hii ya kuaminishwa kwamba kazi ya Wabunge sio tena kutunga Sera tena na mbunge Tanzania hapimwi kwa sera zake Bungeni hapana anapimwa kwa idadi ya mifuko ya Cement alio toa, Mbao, Bati, Makaravati alio jenga na kadhalika na magari ya kubebeba wagonjwa alio toa.

Mbunge kama Charles Kimei ukisikiliza michango yake Bungeni ni mizuri sana na hoja za maana sana Bungeni ila sasa anahukumiwa kwa mfumo tulio jiaminisha.

Kwani Majimbo mengine hao wabunge wamefanya nini?! Pale Morogoro Abood anafanya nini zaidi ya kutoa mabus yaende msibani, Dodoma mjini kuna nini pale kama sio Serikali yenyewe inajenga majumba pale? Dar kule si ni full matatizo? huko kwa wakina Majariwa unazani kuna asali na Maziwa? Mondul si alikuwepo MWamba mwenywe unazania kulikuwa na maziwa na asali?

Unazania hata pale Chato mabomba yalikuwa yanatoa maziwa badala ya Maji?

Kabla ya Kimei si kulikuwa na Mbunge na kabla ya huyo si alikiwepo tena mwingine? Ok MO alisha wahi kuwa mbunge Singida mjini alifanya nini na pesa zake?

Kwa mujibu wa muundo wa utawala katika nchi hii Jimbo hata Mbunge asipo kuwepo kama ni miradi itaepelekwa tu, make wapo Wakurugenzi wa halimashauri ambao project nyingi ziko chuni yao.

Hakuna mbunge anaye weza leta maendeo labda atumie pesa zake mwenyewe, hakuna Mbunge anaye weza toa ajira kwa vijana tusiwe tunadanganywa kama maiti.

Bunge lingejikita kuibana Serikali kisawa sawa kusingekuwa na lawama lakini sasa Serikali haibanwi na raia wanaona Mbunge ndio analeta maendeleo kumbe sio.

Sasa wabunge wajanja wana take advantage Mjengoni Dodoma kimya kabisa, bunge likiisha anaenda na mifuko ya cement na bati kama danganya toto.

Nch nzima matatizo comon raia hawahangaiki nayo, Hakuna Jimbo hata moja raia utasikia wana mbana/Kumuuliza Mbunge wao yafutayo;

1. Sera ya biashara isio rafiki
2.Sera ya ajira
3.Matumizi makubwa ya serikali na ya anasa ya pesa za umma
4. Sera mbovu ya afya
5.Sera mbaya ya mfumo wa elimu Tanzania.
6. Sera ya Kodi,
7. Ufisadi ambao ndio chanzo cha yote.

Hayo na mengine hakuna mbunge anaulizwa jimboni na haya ndio ya msingi sana.
 
Tujiulize kwa kina ndugai kuna maendeleo gani pale jimboni kwake? usha sikia raia wanapiga kelele? nenda huko kanda ya ziwa kwao Msukumu kuna umasikini sana ila raia wako kimya huwezi wasikia kamwe kwa nini? Wanada nganywa na mifuko ya cement na Bati na gari za kubeba wagonjwa.

huyu bwana si politician by nature, ila anaposhine ni ukurugenzi. Yes wabongo wrngi hawajui kutofautisha, ili mwananchi akukubali lazima uwe vizur mdomoni na kwenye matendo, haswa kama ni mbunge wa jamii iliyochangamka kama wachaga

Ukizubaa tu umeenda, ndicho kinachomsumbua huyo bwana
 
Hizo sera ange zisemea kama ange kuwa mbunge wa kuteuliwa. Sisi tulimtuma akawe mwakilishi wetu wana Vunjo nothing else.
Ame fika kule yeye ni kuongea vitu vya ajabu.
Tuka oata mfadhili wa kurekebisha barabara zetu vijijini kwa gharama zake, Bwana mkubwa mbunge wa sera akamzuia ati, ana muingilia Jimboni kwake. Hakuangalia madhila tunayo yapata yeye anaona ana ingiliwa Jimboni kwake. Sasa sisi wana Vunjo tuna omba tuachieni mtu weru tupambane nae...
 
Ukifuatilia Charls Kimei bungeni michango yake huwa ana hoja sana huwezi mlinganisha na wakina Abood ambao kwanza hawaongeagi au wakina Kibajaji ambao wanaongea utumbo na still jimboni kuna porverty ya kutisha.

Hii sera ya kugeuza kwamba Wabunge ndio wanao leta maendeleo tena Jimboni sio nchi nzima, na sio Serikali. Hii inawaletea sana shida baadhi ya wabunge hasa kule ambako raia jitambua. kule wasiko jitambua ni furaha kwa Mheshimiwa.

Tujiulize kwa kina Ndugai kuna maendeleo gani pale jimboni kwake? usha sikia raia wanapiga kelele? nenda huko kanda ya ziwa kwao Msukumu kuna umasikini sana ila raia wako kimya huwezi wasikia kamwe kwa nini? Wanada nganywa na mifuko ya cement na Bati na gari za kubeba wagonjwa.

Bunge kokote kule Duniani ni kutunga sera ambazo hizo sera ndio huletea wananchi maendeleo na sio vinginevyo, Ila sasa Tanzania ni kinyume chake yaani tunaamini kazi ya maendeleo ni ya Mbunge na sio Serikali tena maendeleo ya jimbo.

Ndio maana sasa wakina Abood huwezi wasikia Bungeni ila kule mtaani wanatoa michango mara Mabasi yanabea waombolezaji na raia kwa sababu ni wajinga wao wanaona ni maendeleo.

Hii ya kuaminishwa kwamba kazi ya Wabunge sio tena kutunga Sera tena na mbunge Tanzania hapimwi kwa sera zake Bungeni hapana anapimwa kwa idadi ya mifuko ya Cement alio toa, Mbao, Bati, Makaravati alio jenga na kadhalika na magari ya kubebeba wagonjwa alio toa.

Mbunge kama Charles Kimei ukisikiliza michango yake Bungeni ni mizuri sana na hoja za maana sana Bungeni ila sasa anahukumiwa kwa mfumo tulio jiaminisha.

Kwani Majimbo mengine hao wabunge wamefanya nini?! Pale Morogoro Abood anafanya nini zaidi ya kutoa mabus yaende msibani, Dodoma mjini kuna nini pale kama sio Serikali yenyewe inajenga majumba pale? Dar kule si ni full matatizo? huko kwa wakina Majariwa unazani kuna asali na Maziwa? Mondul si alikuwepo MWamba mwenywe unazania kulikuwa na maziwa na asali?

Unazania hata pale Chato mabomba yalikuwa yanatoa maziwa badala ya Maji?

Kabla ya Kimei si kulikuwa na Mbunge na kabla ya huyo si alikiwepo tena mwingine? Ok MO alisha wahi kuwa mbunge Singida mjini alifanya nini na pesa zake?

Kwa mujibu wa muundo wa utawala katika nchi hii Jimbo hata Mbunge asipo kuwepo kama ni miradi itaepelekwa tu, make wapo Wakurugenzi wa halimashauri ambao project nyingi ziko chuni yao.

Hakuna mbunge anaye weza leta maendeo labda atumie pesa zake mwenyewe, hakuna Mbunge anaye weza toa ajira kwa vijana tusiwe tunadanganywa kama maiti.

Bunge lingejikita kuibana Serikali kisawa sawa kusingekuwa na lawama lakini sasa Serikali haibanwi na raia wanaona Mbunge ndio analeta maendeleo kumbe sio.

Sasa wabunge wajanja wana take advantage Mjengoni Dodoma kimya kabisa, bunge likiisha anaenda na mifuko ya cement na bati kama danganya toto.

Nch nzima matatizo comon raia hawahangaiki nayo, Hakuna Jimbo hata moja raia utasikia wana mbana/Kumuuliza Mbunge wao yafutayo;

1. Sera ya biashara isio rafiki
2.Sera ya ajira
3.Matumizi makubwa ya serikali na ya anasa ya pesa za umma
4. Sera mbovu ya afya
5.Sera mbaya ya mfumo wa elimu Tanzania.
6. Sera ya Kodi,
7. Ufisadi ambao ndio chanzo cha yote.

Hayo na mengine hakuna mbunge anaulizwa jimboni na haya ndio ya msingi sana.
Nimekuja kuielewa point Yako katikati ya content.

Una hoja ya Msingi sana. Na wabunge wanalijua Hilo ndio maana wanadeal zaidi na hizo mitungi za gasi, pikipiki na saruji.

Sera Sera Sera ni muhimu.
 
Katika wabunge wa CCM wanao watendea haki wawakilishi wao na wanaoisimamia serikali ipasavyo bila ya kumun’gunya maneno ni Abood na Msukuma (sema labda mapendekezo ya solution zao saa zingine utata).

Kusema Abood aongei bungeni umtendei haki kabisa ni mmoja wa wabunge wanao ongoza kwenye kutoa positive criticism bungeni kila anaposimama.

Kimei ni scholar hoja zake zina mantiki saa zingine zinashinda upeo wa mawaziri husika wanao ongoza biashara, mipango na uchumi. Na uwa anaongelea hoja kwao sema labda kwa kutumia lugha ya kistaarabu.

View: https://m.youtube.com/watch?v=EggpCuxbnk8

Labda niwe nawachanganya Shabib na Abood ni watu tofauti; huyo muongeaji hapo ndio niilkuwa namlenga. Jamaa ni kati ya wabunge bora.
 
Tujiulize kwa kina Ndugai kuna maendeleo gani pale jimboni kwake? usha sikia raia wanapiga kelele? nenda huko kanda ya ziwa kwao Msukumu kuna umasikini sana ila raia wako kimya huwezi wasikia kamwe kwa nini? Wanada nganywa na mifuko ya cement na Bati na gari za kubeba wagonjwa.
Na leo amesema watozwe kwa kuvuka daraja la Magufuli Mwanza
 
Ukifuatilia Charls Kimei bungeni michango yake huwa ana hoja sana huwezi mlinganisha na wakina Abood ambao kwanza hawaongeagi au wakina Kibajaji ambao wanaongea utumbo na still jimboni kuna porverty ya kutisha.

Hii sera ya kugeuza kwamba Wabunge ndio wanao leta maendeleo tena Jimboni sio nchi nzima, na sio Serikali. Hii inawaletea sana shida baadhi ya wabunge hasa kule ambako raia jitambua. kule wasiko jitambua ni furaha kwa Mheshimiwa.

Tujiulize kwa kina Ndugai kuna maendeleo gani pale jimboni kwake? usha sikia raia wanapiga kelele? nenda huko kanda ya ziwa kwao Msukumu kuna umasikini sana ila raia wako kimya huwezi wasikia kamwe kwa nini? Wanada nganywa na mifuko ya cement na Bati na gari za kubeba wagonjwa.

Bunge kokote kule Duniani ni kutunga sera ambazo hizo sera ndio huletea wananchi maendeleo na sio vinginevyo, Ila sasa Tanzania ni kinyume chake yaani tunaamini kazi ya maendeleo ni ya Mbunge na sio Serikali tena maendeleo ya jimbo.

Ndio maana sasa wakina Abood huwezi wasikia Bungeni ila kule mtaani wanatoa michango mara Mabasi yanabea waombolezaji na raia kwa sababu ni wajinga wao wanaona ni maendeleo.

Hii ya kuaminishwa kwamba kazi ya Wabunge sio tena kutunga Sera tena na mbunge Tanzania hapimwi kwa sera zake Bungeni hapana anapimwa kwa idadi ya mifuko ya Cement alio toa, Mbao, Bati, Makaravati alio jenga na kadhalika na magari ya kubebeba wagonjwa alio toa.

Mbunge kama Charles Kimei ukisikiliza michango yake Bungeni ni mizuri sana na hoja za maana sana Bungeni ila sasa anahukumiwa kwa mfumo tulio jiaminisha.

Kwani Majimbo mengine hao wabunge wamefanya nini?! Pale Morogoro Abood anafanya nini zaidi ya kutoa mabus yaende msibani, Dodoma mjini kuna nini pale kama sio Serikali yenyewe inajenga majumba pale? Dar kule si ni full matatizo? huko kwa wakina Majariwa unazani kuna asali na Maziwa? Mondul si alikuwepo MWamba mwenywe unazania kulikuwa na maziwa na asali?

Unazania hata pale Chato mabomba yalikuwa yanatoa maziwa badala ya Maji?

Kabla ya Kimei si kulikuwa na Mbunge na kabla ya huyo si alikiwepo tena mwingine? Ok MO alisha wahi kuwa mbunge Singida mjini alifanya nini na pesa zake?

Kwa mujibu wa muundo wa utawala katika nchi hii Jimbo hata Mbunge asipo kuwepo kama ni miradi itaepelekwa tu, make wapo Wakurugenzi wa halimashauri ambao project nyingi ziko chuni yao.

Hakuna mbunge anaye weza leta maendeo labda atumie pesa zake mwenyewe, hakuna Mbunge anaye weza toa ajira kwa vijana tusiwe tunadanganywa kama maiti.

Bunge lingejikita kuibana Serikali kisawa sawa kusingekuwa na lawama lakini sasa Serikali haibanwi na raia wanaona Mbunge ndio analeta maendeleo kumbe sio.

Sasa wabunge wajanja wana take advantage Mjengoni Dodoma kimya kabisa, bunge likiisha anaenda na mifuko ya cement na bati kama danganya toto.

Nch nzima matatizo comon raia hawahangaiki nayo, Hakuna Jimbo hata moja raia utasikia wana mbana/Kumuuliza Mbunge wao yafutayo;

1. Sera ya biashara isio rafiki
2.Sera ya ajira
3.Matumizi makubwa ya serikali na ya anasa ya pesa za umma
4. Sera mbovu ya afya
5.Sera mbaya ya mfumo wa elimu Tanzania.
6. Sera ya Kodi,
7. Ufisadi ambao ndio chanzo cha yote.

Hayo na mengine hakuna mbunge anaulizwa jimboni na haya ndio ya msingi sana.
Uko sahihi mno mno. Watanzania wengi wanadhani kazi ya mbunge ni kuwa mfadhili wa jimbo kwa kujenga miundo mbinu na kuanzisha miradi. Haya ni mawazo ya watanzania wengi sana na siku hizi wabunge wengi wanatumia hii kutojua, kuwalaghai wananchi. Unakuta mbunge anajifanya kununua mifuko ya saruji au mambo mengine ambayo kimsingi ni serikali imeshindwa kuyafanya. Na mbaya zaidi wabunge wa aina hii wanaachia sheria mbovu zinapita na raslimali zetu zinaporwa huko wakijifanya kutoa ambulence kuukuu au magari ya kubeba misiba. Kimsingi wanatumia umaskini na ujinga wa wananchi kukaa bungeni.
 
Ukifuatilia Charls Kimei bungeni michango yake huwa ana hoja sana huwezi mlinganisha na wakina Abood ambao kwanza hawaongeagi au wakina Kibajaji ambao wanaongea utumbo na still jimboni kuna porverty ya kutisha.

Hii sera ya kugeuza kwamba Wabunge ndio wanao leta maendeleo tena Jimboni sio nchi nzima, na sio Serikali. Hii inawaletea sana shida baadhi ya wabunge hasa kule ambako raia jitambua. kule wasiko jitambua ni furaha kwa Mheshimiwa.

Tujiulize kwa kina Ndugai kuna maendeleo gani pale jimboni kwake? usha sikia raia wanapiga kelele? nenda huko kanda ya ziwa kwao Msukumu kuna umasikini sana ila raia wako kimya huwezi wasikia kamwe kwa nini? Wanada nganywa na mifuko ya cement na Bati na gari za kubeba wagonjwa.

Bunge kokote kule Duniani ni kutunga sera ambazo hizo sera ndio huletea wananchi maendeleo na sio vinginevyo, Ila sasa Tanzania ni kinyume chake yaani tunaamini kazi ya maendeleo ni ya Mbunge na sio Serikali tena maendeleo ya jimbo.

Ndio maana sasa wakina Abood huwezi wasikia Bungeni ila kule mtaani wanatoa michango mara Mabasi yanabea waombolezaji na raia kwa sababu ni wajinga wao wanaona ni maendeleo.

Hii ya kuaminishwa kwamba kazi ya Wabunge sio tena kutunga Sera tena na mbunge Tanzania hapimwi kwa sera zake Bungeni hapana anapimwa kwa idadi ya mifuko ya Cement alio toa, Mbao, Bati, Makaravati alio jenga na kadhalika na magari ya kubebeba wagonjwa alio toa.

Mbunge kama Charles Kimei ukisikiliza michango yake Bungeni ni mizuri sana na hoja za maana sana Bungeni ila sasa anahukumiwa kwa mfumo tulio jiaminisha.

Kwani Majimbo mengine hao wabunge wamefanya nini?! Pale Morogoro Abood anafanya nini zaidi ya kutoa mabus yaende msibani, Dodoma mjini kuna nini pale kama sio Serikali yenyewe inajenga majumba pale? Dar kule si ni full matatizo? huko kwa wakina Majariwa unazani kuna asali na Maziwa? Mondul si alikuwepo MWamba mwenywe unazania kulikuwa na maziwa na asali?

Unazania hata pale Chato mabomba yalikuwa yanatoa maziwa badala ya Maji?

Kabla ya Kimei si kulikuwa na Mbunge na kabla ya huyo si alikiwepo tena mwingine? Ok MO alisha wahi kuwa mbunge Singida mjini alifanya nini na pesa zake?

Kwa mujibu wa muundo wa utawala katika nchi hii Jimbo hata Mbunge asipo kuwepo kama ni miradi itaepelekwa tu, make wapo Wakurugenzi wa halimashauri ambao project nyingi ziko chuni yao.

Hakuna mbunge anaye weza leta maendeo labda atumie pesa zake mwenyewe, hakuna Mbunge anaye weza toa ajira kwa vijana tusiwe tunadanganywa kama maiti.

Bunge lingejikita kuibana Serikali kisawa sawa kusingekuwa na lawama lakini sasa Serikali haibanwi na raia wanaona Mbunge ndio analeta maendeleo kumbe sio.

Sasa wabunge wajanja wana take advantage Mjengoni Dodoma kimya kabisa, bunge likiisha anaenda na mifuko ya cement na bati kama danganya toto.

Nch nzima matatizo comon raia hawahangaiki nayo, Hakuna Jimbo hata moja raia utasikia wana mbana/Kumuuliza Mbunge wao yafutayo;

1. Sera ya biashara isio rafiki
2.Sera ya ajira
3.Matumizi makubwa ya serikali na ya anasa ya pesa za umma
4. Sera mbovu ya afya
5.Sera mbaya ya mfumo wa elimu Tanzania.
6. Sera ya Kodi,
7. Ufisadi ambao ndio chanzo cha yote.

Hayo na mengine hakuna mbunge anaulizwa jimboni na haya ndio ya msingi sana.
Kwan saiv si wanasema kua rais kajenga madaraja, mashule, mahospitali kafanya wananchi wanaishi!! So wao saiv hawana kazi ya kuletea maendeleo watanzania maan kazi zote za maendeleo zinafanywa na rais 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom