ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,321
- 50,542
Eti kwamba Baada ya magufuli kukabidhiwa chama (uenyekiti) eti atakisafisha chama kwa kuondoa mafisadi wote ambao wengi ni viongozi kwenye nafasi mbalimbali hapo ccm. Tuache kuongea kwa mafumbo kwamba kuna mafisadi fulani ebu sasa tutajiwe kabisa kwamba ni kina fulani ndo wanasubiri kutumbuliwa . Michango naomba itoke kwa wana ccm kina GENTAMYCINE na wengineo wapenzi wa ccm watuambie kabisa kwa majina na vyeo vyao kwamba kina fulani mafisadi kiama chao kinakaribia Baada ya mheshimiwa magufuli kuwa mwenyekiti. Maana mimi kiukweli nimefikiria sana naona kama sioni hapo mkubwa wa kutumbuliwa chamani.. Kwa sababu kama ni yule mnaomwita Lowasa fisadi mkuu yeye hayupo ccm na kama ni chenge si ndo huyu wabunge hao hao wa ccm tumempa na cheo kabisa na kama ni muhongo si ndo huyu waziri na hata hivo sidhani kama ye ana cheo kama kiongoz hapo chamani
Sasa ni mafisadi gani hao Nipeni hata mifano mitatu tu kwa majina niwajue
Sasa ni mafisadi gani hao Nipeni hata mifano mitatu tu kwa majina niwajue