VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,004
Mzee tupa tupa CCM waliamini hivyo... Ndio maana maridhiano yako kwenye kanuni za hilo hilo Bunge, sio kwamba wamejua leo...Labda wewe ndio umejua leo....Wazanzibari wametutoa jasho. Wameshaharibu mianya ya kupata akidi. Punde,timu ya kimkakati tumetua Dodoma kutafuta maridhiano. Maridhiano ya kiakidi. Kuongea na wanahapana ili wajiunge na wanandiyo. Kanuni ziko kimya juu ya kurudia au la upigaji wa kura. Tunahitaji wanahapana wachache wahamie kwa wanandiyo.
Kura za siri nazo ni shubiri. Hapana zhmetamalaki. Napo panahitaji maridhiano. Ikibidi,tutatafuta maridhiano hata na wanaUKAWA kuokoa jahazi. Sasa kama chama tawala tumeamini kuwa Katiba ni jambo la maridhiano na si majivuno. Tusameheni.
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam (kwasasa Dodoma)
Tukisamehewa,hizo hela walizotuonya tusizichezee zitarudije?
Au tusamehewa kwa kukaidi na kufuja fedha kwa pamoja?
Kwenu,Watanzania.Sameheni jamani maana hujafa hujaumbika
Bora Mchawi kuliko mnafiki.Wazanzibari wametutoa jasho. Wameshaharibu mianya ya kupata akidi. Punde,timu ya kimkakati tumetua Dodoma kutafuta maridhiano. Maridhiano ya kiakidi. Kuongea na wanahapana ili wajiunge na wanandiyo. Kanuni ziko kimya juu ya kurudia au la upigaji wa kura. Tunahitaji wanahapana wachache wahamie kwa wanandiyo.
Kura za siri nazo ni shubiri. Hapana zhmetamalaki. Napo panahitaji maridhiano. Ikibidi,tutatafuta maridhiano hata na wanaUKAWA kuokoa jahazi. Sasa kama chama tawala tumeamini kuwa Katiba ni jambo la maridhiano na si majivuno. Tusameheni.
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam (kwasasa Dodoma)
Bora Mchawi kuliko mnafiki.
Wazanzibari wametutoa jasho. Wameshaharibu mianya ya kupata akidi. Punde,timu ya kimkakati tumetua Dodoma kutafuta maridhiano. Maridhiano ya kiakidi. Kuongea na wanahapana ili wajiunge na wanandiyo. Kanuni ziko kimya juu ya kurudia au la upigaji wa kura. Tunahitaji wanahapana wachache wahamie kwa wanandiyo.
Kura za siri nazo ni shubiri. Hapana zhmetamalaki. Napo panahitaji maridhiano. Ikibidi,tutatafuta maridhiano hata na wanaUKAWA kuokoa jahazi. Sasa kama chama tawala tumeamini kuwa Katiba ni jambo la maridhiano na si majivuno. Tusameheni.
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam (kwasasa Dodoma)
Acha unafiki wewe.
Acha unafiki wewe.