Scared
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,887
- 17,614
Katika mechi ambazo zilikua za ajabu ni real Madrid na arsenyani yaani walikutana pipa na mfuniko nikajua labda Madrid ataonyesha mpira mzuri kumbe Naye bangusilo hakuna kitu kabisa aisee rasmi nawaunga mkono psg sababu wanaiweza hii kazi Kule dembele Kule barcola huku achirafu hakimi huku Mendes arsenyani akipita niitwe mwantumu mods naombeni huu Uzi msiupeleke popote ubaki hapa