Cma mnakula rushwa kwa wajiri zamu yenu kulizwa pelekeni cma.mganga hajigangi chagua ccm october uendelee kupata raha kama hizi.
achana nao nenda intervw kesho pale CMA-CAPITAL MARKET AUTHORITY ule shavu
Tupo wengi. Je, tufanyeje sasa? Ama kweli mganga hajigangi na kinyozi hajinyoi.
Shauri hili tulipeleke wapi kudai haki?
Ingekuwa Idara nyingine ningeenda kufungua shauri CMA.
Ukiajiriwa kama mtumishi wa umma au government agency yoyote ambayo mishahara ya watumishi wake inatoka hazina kuna kitu kinaitwa cheque number unapata kutoka hazina,mara baada tu ya kupata hyo cheque number tayari una uhakika wa kupata mshahara wako!sasa niwaulize je kama mishahara yenu inatoka hazina tayari mmeshapata hyo cheque nr?
Kama hamjapata waulizeni maafisa utumishi wa CMA maana ndio wako responsible kutuma details zenu online hazina ili mpate hyo cheque nr!