Tume yatoa namna ya kujua kituo chako | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tume yatoa namna ya kujua kituo chako

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by CHANGA, Oct 27, 2010.

 1. C

  CHANGA Member

  #1
  Oct 27, 2010
  Joined: May 26, 2008
  Messages: 95
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  UKITUMA NAMBA YAKO YA KUJIANDISHA ILIYOKO KWENYE KITAMBULISHO CHA KUPIGIA KURA KWENDA NAMBA 15455 KWA MITANDAO YOTE UTAPATA TAARIFA ZAKO ZILIZOKO KWENYE DAFTARI LA WAPIGA KURA. VILE VILE UKITUMIA WEB YAO The National Electrol Commission of Tanzania - Homepage KWENYE REGISTRATION STATUS NA KUINGIZA NAMBA YAKO YA KUJIANDIKISHA UTAPATA TAARIFA ZAKO. TUME PIA WAMEANZISHA CALL CENTRE AMBAYO NI 24HRS KWA WENYE MASWALI YA KUULIZA NO +255 22 2199780. WANAJARIBU KUWA KARIBU NA WAPIGA KURA
   
 2. amba.nkya

  amba.nkya JF-Expert Member

  #2
  Oct 27, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 431
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Nimejaribu kutuma details zangu kwa e-mail ime'fail', nimejaribu tena kutuma msm kutumia hiyo namba hiyo kama robo saa iliyopita hawajajibu pia. Sasa nifanyeje na siku zinaisha?
   
Loading...