Tume ya utumishi wa walimu ilishaundwa?

kson m

JF-Expert Member
Jan 24, 2014
6,667
3,051
Naomba kujua kama chombo hiki kilishaundwa baada ya ile Sheria ya kukianzisha kupitishwa na bunge June 2015.

Pili kama kimeanzishwa kina majukumu gani hadi sasa.

Natanguliza shukrani kwa mchango wako.
 
Tume ipo miaka mingi sana maarufu kama TSD. Inayopigiwa upatu kuundwa ni MAMLAKA. Ambayo itakuwa na nguvu hata ya kujipangia viwango vya mshahara. Naskia iko jikon
 
TSD ni IDARA ya Utumishi WA walimu kama sikosei. Tume ingekuwa TSC.
 
Back
Top Bottom