hhsmakwato
Member
- Mar 19, 2015
- 97
- 51
Wanajamvi leo nimepata fursa ya kuangalia taarifa ya habar ITV . Tume imesema matokeo yote yatatangazwa kuanzia ngazi za chini isipokuwa kura za uraisi tuu, Je hili halitoweza kuleta matatizo na kwann tusipewe matokeo ya raisi kuanzia ngazi ya chini...?
Labda sijaelewa munieleweshe.
Labda sijaelewa munieleweshe.