K Kilasi Mkuu JF-Expert Member Joined Nov 25, 2013 Posts 2,325 Reaction score 724 Mar 24, 2023 #1 Tume ya uchaguzi na sheria za uchaguzi itafumuliwa kwenda sawana mazingira ya Sasa anesema waziri washeria na katiba
Tume ya uchaguzi na sheria za uchaguzi itafumuliwa kwenda sawana mazingira ya Sasa anesema waziri washeria na katiba
Mjukuu wa Magika JF-Expert Member Joined Jul 5, 2019 Posts 636 Reaction score 1,203 Mar 24, 2023 #2 Wabunge CCM wajiandae kubeba vilago 2025
Kichuguu Platinum Member Joined Oct 11, 2006 Posts 17,829 Reaction score 24,499 Mar 24, 2023 #4 Kilasi Mkuu said: Tume ya uchaguzi na sheria za uchaguzi itafumuliwa kwenda sawana mazingira ya Sasa anesema waziri washeria na katiba Click to expand... Unaweza kukuta wanaondoa fimbo na kuweka rungu; usijipe matumaini mpaka uone matokeo yake.
Kilasi Mkuu said: Tume ya uchaguzi na sheria za uchaguzi itafumuliwa kwenda sawana mazingira ya Sasa anesema waziri washeria na katiba Click to expand... Unaweza kukuta wanaondoa fimbo na kuweka rungu; usijipe matumaini mpaka uone matokeo yake.
J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 104,319 Reaction score 183,537 Mar 24, 2023 #5 πππ Waziri ndio Katiba mpya?!!
Tindo Platinum Member Joined Sep 28, 2011 Posts 69,595 Reaction score 123,105 Mar 24, 2023 #6 Kilasi Mkuu said: Tume ya uchaguzi na sheria za uchaguzi itafumuliwa kwenda sawana mazingira ya Sasa anesema waziri washeria na katiba Click to expand... Huwa siamini sana kwenye makubaliano ya aina hii bila machafuko. Zanzibar kulikuwa na maridhiano, lakini kilichotokea kwenye uchaguzi wa 2015 kila mtu aliona.
Kilasi Mkuu said: Tume ya uchaguzi na sheria za uchaguzi itafumuliwa kwenda sawana mazingira ya Sasa anesema waziri washeria na katiba Click to expand... Huwa siamini sana kwenye makubaliano ya aina hii bila machafuko. Zanzibar kulikuwa na maridhiano, lakini kilichotokea kwenye uchaguzi wa 2015 kila mtu aliona.