Tume ya Uchaguzi imevamiwa?

Ila wakae wakijua kuwa ni Rais pekee ndiye ana kinga ya kutokushtakiwa, na akisha ondoka madarakani haweza kuwapa ulinzi wanopata sasa wa kufanya uharamia bila kuguswa.
 
Anamjua mkuu ndio mana amempa hyo ndugu.Watu wenye sifa za kihuni na kuvunja sheria ndio anaowapenda jiwe.....Tulilamba jiwe kwelikweli mana halisikii wala haliambiliki
 
Anamjua mkuu ndio mana amempa hyo ndugu.Watu wenye sifa za kihuni na kuvunja sheria ndio anaowapenda jiwe.....Tulilamba jiwe kwelikweli mana halisikii wala haliambiliki

Bro umeshawahi kumwambia nini au uko unaweweseka!
 
Ndio watu ccm wanaowapenda kufanikisha wizi, gilba, uongo na udhulumati kwani bila hivyo ccm haiwezi kuwepo kabisa ktk uso wa dunia.
 
Mkuu utateseka sana kumfikiria mabaya mtu anayewanyosha waharifu na wasiojielewa!

Duh

Labda uniambie kwenye uchaguzi TZ hii wahalifu ni akina nani?

Na wasiojielewa ni akina nani?

Na Tume ya Uchaguzi imewanyoosha lini na kwa hatua zipi?

Just be honest uende mbinguni!
 
Duh

Labda uniambie kwenye uchaguzi TZ hii wahalifu ni akina nani?

Na wasiojielewa ni akina nani?

Na Tume ya Uchaguzi imewanyoosha lini na kwa hatua zipi?

Just be honest uende mbinguni!

Dkt. Kihamia katajwa kwenye post na mambo aliyoyafanya Arusha au na wewe huelewi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…