Caroline Hans
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 723
- 386
We Mwajuma ndala mbili na huku umo?
Nyïe mmekula wapinzani sasa mnaanzana wenyewe,hakuna tone la damu litalomwagika bure,litali na nyie na anayewatuma mpaka kizazi cha nne
Viongozi wanaotakiwa sasa ni wale wanaoweza kuubomoa upinzani bila soni.
Sasa mtekaji si ndo anatakiwa Mzee!ili wauwe wanaowapinga vizur..si ndo tulipofikia huku!
HEBU RUDIA KUSOMA HIKI KIPANDE LABDA UTAELEWASasa imekuwa too much yani mpaka utekaji anahusika? Ila mbona hakuna sehemu alipotiwa hatiani? hapa sio mahakamani kama una hoja yenye mashiko peleka mahakamani
yani mtu alïyeleta vurugu Arusha,mtekaji,anayependelea chama Tawala ndio unampa NEC?
Alafu mkiambiwa mna kisonono na Gonorhea mnalia lia hapa
kesi sio hatiaHEBU RUDIA KUSOMA HIKI KIPANDE LABDA UTAELEWA
Viongozi wa namna hii hawafai kuwa watendaji wakuu, huyu ni mwanasiasa kiasili tena wale wenye roho ngumu. Ushahidi wa hili ni kesi inayomkabili hadi leo kule Arusha akihusishwa kupanga na kutekeleza mkakati na kufanikiwa kumteka Mwalimu Batuli Hamadi Kisaya wa shule ya msingi Unga limited iliyopo jijini Arusha mnamo septemba 2016 akishirikiana na mbunge Catherine Magige na Mrisho Gambo RC Arusha, kesi ambayo bado inaendelea, sababu za mwalimu huyo kutekwa, kuteswa na kutupwa porini kabla ya kuokotwa na wasamaria wema na kupelekwa hospitali ya rufaa ya mount meru na kulazwa wiki 2 ambapo alisema alitekwa maeneo ya nyumbani kwake akitokea dukani kwa kutishiwa kwa bunduki na vijana 6 ambao inasemekana ni wafuasi wa UVCCM.
HEBU RUDIA KUSOMA HIKI KIPANDE LABDA UTAELEWA

Mahakama hazina nafasi ya umbea na ntimanyongoInaonekana umeamini hayo maneno ushauri wa Bure ungana na mtoa post muende mahakamani mkafungue kesi otherwise unabakia kuwa umbeya na majungu, Mahakama pekee ndicho chombo kinachoweza kuthibitisha na kumtia mtu hatiani, nenda mahakamani maadam Dkt. Kihamia yupo atafuatwa huko. Please nenda Mahakamani nakupa ushauri wa bure.
Mahakama hazina nafasi ya umbea na ntimanyongo
umeshaambia kesi iko mahakamani sasa unataka twende mahakama gani tenaInaonekana umeamini hayo maneno ushauri wa Bure ungana na mtoa post muende mahakamani mkafungue kesi otherwise unabakia kuwa umbeya na majungu, Mahakama pekee ndicho chombo kinachoweza kuthibitisha na kumtia mtu hatiani, nenda mahakamani maadam Dkt. Kihamia yupo atafuatwa huko. Please nenda Mahakamani nakupa ushauri wa bure.
Zamu yenu itafika tu. Hata uonevu wa Lissu na Saanane ulionekana sio kitu kwa Mo,leo yupo wapi?sisi ndio tunapiga mwanoHa ha ha ha umbeya na majungu piga chini.
wapi nimesema kesi ni hatia?kesi sio hatia
umeshaambia kesi iko mahakamani sasa unataka twende mahakama gani tena
Ushahidi wa hili ni kesi inayomkabili hadi leo kule Arusha akihusishwa kupanga na kutekeleza mkakati na kufanikiwa kumteka Mwalimu Batuli Hamadi Kisaya wa shule ya msingi Unga limited iliyopo jijini Arusha mnamo septemba 2016 akishirikiana na mbunge Catherine Magige na Mrisho Gambo RC Arusha, kesi ambayo bado inaendelea,
Zamu yenu itafika tu. Hata uonevu wa Lissu na Saanane ulionekana sio kitu kwa Mo,leo yupo wapi?sisi ndio tunapiga mwano