lazima ukae
JF-Expert Member
- May 15, 2013
- 791
- 417
mkisikia hamsemi. Muda ukipita mnasema.
binadamu tunamatatizo sana hasa sisi wabongo. we kama mtu kauliza swali' siunamjibu kama
unafahamu? Kiukweli mi sijajua sana' ila inasemekana wamechaguliwa watu 160 tu kati ya watu
wote waliofanya usaili name Leo tar 23 ndo daftari limefunguliwa rasmi bado tu watu kuitwa kwa
ajili ya kupewa vituo. kama utakua ni mmoja ya washindi, utamshukuru mungu maana hapo
ndipo watu watakapo tajirikia. laki moja kila siku so mchezo kwa mud a wa miezi saba,
kibongobongo inatosha
Wote ndo wale wale na Agri wako
maneno yako hayana madhara.We nani kwani mpaka kila kazi watu wakush2e.Angaika mwenyewe
Kwanini wewe usihangaike mwenyewe kutafuta hayo majina?
mkisikia hamsemi. Muda ukipita mnasema.
Maneno yako ni ya kweli kabisa! Hata cjui wenzetu wamezitoa wap hizo nafashii kweli tz kila k2 ni michongo na kujuana. hakuna siku imepita bila kucheki blogu na tovutI zote znazowekA matangazO yA ajirA.lakn tangazo la NEC wala cjuI lilitolewA waP nashangaA tU leo watU wanauliziA matokeo ya usaili.hongera zenu kwa waliofanikiwa kupata