Tume ya mahakama

Tume ya mahakama

Finest

Member
Joined
Mar 27, 2015
Posts
49
Reaction score
14
Jamani tume ya mahakama nafasi zile za maafisa utumishi na utawala mnawaita lini kwa interview mbna....pasaka imekwishapita anaejua atujuze tafadhali
 
mkuu mi nimesubir mpaka nimeamua kurudi bushi kuendelea na mishe nyingine! nadhani tuendelee kuwa na subira tu maana kuna nyingine za kada ya chini wametoa inawezekana wakaita pamoja! ajira za siku hizi ni za kusubiri its a long journey we believe watakuwa fair coz its justice place they can be shown credibility
 
mhhhh ngoja tuwe wapole maana ngoja ngoja nayo inaumiza matumbo
 
Back
Top Bottom