Mr. creative mwanangu acha utoto. Mawazo unayopaswa kutoa si yetu bali yako. Kila mtu ana jinsi anavyotaka katiba mpya iwe. Hapa si suala la nioe nani au nisioe. Kwani tukuchangie ili uchangie huna ubongo na kama unao utautumia kwa kazi gani--kuomba mawazo yetu halafu uyaite yako? Think more a little bit my child. Give it a try.