Tume ya Chande si Huru: Kwanini?

Kubwa la maadui mavi yanagonga chupi na kurudi ndani ushahidi wote unamuelemea yeye na mahenchmen wake.
 
Hiyo TUME hakuna kitu ndiyo maana Askofu Mwamakula Mwanakondoo ameshinda Tumfuate aliwatolea nje hiyo TUME Ya KIHUNI.
 
Kuna mtu mmoja wa ofisi ya DPP ameniambia RPC watano wanaenda kushitakiwa " kibangusilo bangusilo".
 
Hivi kuna mtu mwenye akili timamu anategemea hii tume ya bi chura itakuja na report halisi ya mauaji ya 29oct?

Labda kwa kichaa tu!
 
Recommendation yao itakuwa yafanyike maridhiano. Hakuna kingine
Hii ni sawa na mtu anapakwa mafuta ya makalio halafu unategemee "hamna shida"
 
Kuna mtu mmoja wa ofisi ya DPP ameniambia RPC watano wanaenda kushitakiwa " kibangusilo bangusilo".
Haitanishangaza hata kidogo hilo lilkitokea; lakini pia hiyo inaweza kuwa ni mbinu tu ya kutokea.
Mashtaka ya kiuongonakweli, ambayo hata washtakiwa hayatawastua sana, kwani wanajuwa ni mpango maalum.
Nani ataamini mtu kama Jumanne Muliro kweli atafikishwa mahakamani na utawala huu huu?

Mshtakiwa mkuu hapa, katika mahakama yoyote ni Samia Suluhu Hassan na Genge lake, waliotimiza dhamira ya kuvuruga amani ya waTanzania kwa matendo yao, tokea mwanzo kabisa hadi mwisho wa mauaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…