ishu ni kwamba kuna watu ambao wao wameajiriwa sehemu kama vibarua au tempo yani hawana ajira ya kudumu kwenye taasisi za serikali. kwa mfano utakuta mtu kamaliza shule na kaomba sehemu kama tfda tempo akapata na akawa anafanya kazi akilipwa kama mfanyakazi wa muda mfupi.Sasa usichoelewa nini? Maana yake USIOMBE kama unaangukia hapo, na 7bu ndo hyo, katafute maelezo zaidi kwenye waraka kumbukumbu hyo hapo walokuandikia/ambatanisha.
ishu ni kwamba kuna watu ambao wao wameajiriwa sehemu kama vibarua au tempo yani hawana ajira ya kudumu kwenye taasisi za serikali. kwa mfano utakuta mtu kamaliza shule na kaomba sehemu kama tfda tempo akapata na akawa anafanya kazi akilipwa kama mfanyakazi wa muda mfupi.
je mtu kama huyu kifungu hiki kinamuhusu??
there you are mkuu!,huyo mtu serikali haimtambui, kwahiyo anatakiwa aombe ili apate ajira nakisha serikali imtambue.
ishu ni kwamba kuna watu ambao wao wameajiriwa sehemu kama vibarua au tempo yani hawana ajira ya kudumu kwenye taasisi za serikali. kwa mfano utakuta mtu kamaliza shule na kaomba sehemu kama tfda tempo akapata na akawa anafanya kazi akilipwa kama mfanyakazi wa muda mfupi.
je mtu kama huyu kifungu hiki kinamuhusu??
ishu ni kwamba kuna watu ambao wao wameajiriwa sehemu kama vibarua au tempo yani hawana ajira ya kudumu kwenye taasisi za serikali. kwa mfano utakuta mtu kamaliza shule na kaomba sehemu kama tfda tempo akapata na akawa anafanya kazi akilipwa kama mfanyakazi wa muda mfupi.
je mtu kama huyu kifungu hiki kinamuhusu??
there you are mkuu!,
ndio sasa yeye anataka kupata ajira sasa iliyo rasmi hapo hapo kwenye hiyo taasisi.
sasa hawa jamaa wa tume ya ajira kuna kipengele kingine wanaruhu mtu ambae ameajiriwa lakini anataka kubadili fani tofauti na ile aliyopo kitu ambacho naona sio sawa sana kivile.

asante sana ndugu yangu kwa kunipa shule moja nzuri kwa maelezo yako mazuri nimekupata mwanzo mwisho!.................
NGOJA nikuambie kitu kimoja! Kabla ya utaratibu huu; kulikuwa na idadi kubwa tu ya wafanyakazi wa serikali ambao walikuwa wanazunguka tu kutoka idara moja hadi nyingine; au wizara moja hadi nyingine! Unakuta mtu ameajiriwa kama Economist II Wizara ya Jinsia; kisha anaona nafasi Wizara ya Fedha; basi anaamua kuomba Wizara ya Fedha wakati tayari ana ajira !!