Malalamiko katika kila kituo cha uchaguzi wa mwaka huu ni watu kuambiwa kuwa majina yao hayapo na bila maelezo.
Tunaomba tume ijibu hii tuhuma rasmi
tusiishie kusema tu watu hawakujitokeza kupiga kura ili hali tume inajua wazi kuwa wao waliwanyima haki watu kwa makusudi.