Elections 2010 Tume itueleze ni wangapi walinyimwa haki ya kupiga kura

MWANA WA UFALME

JF-Expert Member
Sep 10, 2010
578
144
Malalamiko katika kila kituo cha uchaguzi wa mwaka huu ni watu kuambiwa kuwa majina yao hayapo na bila maelezo.

Tunaomba tume ijibu hii tuhuma rasmi

tusiishie kusema tu watu hawakujitokeza kupiga kura ili hali tume inajua wazi kuwa wao waliwanyima haki watu kwa makusudi.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom