Tume ihakikishe mpiga kura aonekane mgongo kwenye vibanda vya kupigia kura

Johne

JF-Expert Member
Dec 31, 2013
328
78
Nawashauri tume ya uchaguzi ihakikishe vibanda vya kujihifadi wakati kujaza karatasi za kura viwekwe kwa mtindo ambao mpiga kura ataonekana mgongo ili kuepuka watu kuingia na karatas za kura feki
 
Ni kweli kila mmoja ana haki ya kuhakikisha analinda kura yake,kikubwa ni kwa mawakala kumake sure wanasimamia kila kitu vizuri,shida ni wale ndugu zetu wanaonunuliwa tuwe makini sana kuwaachia uwakala maana tumeshaona na hata kwenye kurudisha form imekuwa ni changamoto
 
Back
Top Bottom