GE2025 Tume huru ya Uchaguzi yetu imejaa maigizo

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Inayoitwa tume huru ya uchaguzi inatuona sisi ndezi!

Yaani eti kati ya vitu vyote vya kuweka uwanja sawa kwa wagombea imeona kugawa magari ndiyo njia mwafaka! Kwa nini inapata kigugumizi kuamua kwenye reforms za uchaguzi?

Sisi tunalia na DEDs kiwa wasimamizi wa uchaguzi mbona haisikii? Kama kuweka uwanja sawa kwa nini wengine wamefungwa mikono na miguu?View attachment 3455234
Tume inayosingiziwa kuwa huru inaenda kulazimisha uchaguzi usio huru uonekane huru.
 
Inayoitwa tume huru ya uchaguzi inatuona sisi ndezi!

Yaani eti kati ya vitu vyote vya kuweka uwanja sawa kwa wagombea imeona kugawa magari ndiyo njia mwafaka! Kwa nini inapata kigugumizi kuamua kwenye reforms za uchaguzi?

Sisi tunalia na DEDs kiwa wasimamizi wa uchaguzi mbona haisikii? Kama kuweka uwanja sawa kwa nini wengine wamefungwa mikono na miguu?View attachment 3455234
Huwa ninachukizwa sana kuona wale wanaoitwa "wasomi" wanafanya mambo ya kipuuzi kama haya.
 
Yaani tume imeteuliwa na m/kiti wa ccm halafu iwe huru?mambo mengine muwe serious
 
Ok. Mimi mamangu alifariki mwaka 1996. Wewe mamaako yupo hai. Unajua Mimi nipo nafanya nini na mamaako sasa hivi? Ahahahahaha!!
Huu ndiyo ujinga wenu waTanzania badala ya kujadili mambo muhimu yanayolisibu taifa mnajadiri huu ujinga!!
 
Mimi ni muumini wa sera ya "An eye for an eye". Ukinijibu hovyo nakujibu hovyo. Ukileta utani, nafanya mzaha! Ahahahahaha!!
 
Inayoitwa tume huru ya uchaguzi inatuona sisi ndezi!

Yaani eti kati ya vitu vyote vya kuweka uwanja sawa kwa wagombea imeona kugawa magari ndiyo njia mwafaka! Kwa nini inapata kigugumizi kuamua kwenye reforms za uchaguzi?

Sisi tunalia na DEDs kiwa wasimamizi wa uchaguzi mbona haisikii? Kama kuweka uwanja sawa kwa nini wengine wamefungwa mikono na miguu?View attachment 3455234
Hivi vijana wa nchi hii ndio mnakuwa slow hivi kuelewa mambo? Kwanza Tume imegawa Magari kwa wagombea wote ili kuweka uwanja sawa wa Kampeni kwa wagombea wote manake sio wote wangeweza kufanya Kampeni kwa Tume imewapa gari na dereva na watawekewa na mafuta muda wote wa Kampeni. Jambo la DED's kusimamia Uchaguzi halipo Tena, tuwe tunafanya utafiti ndio tuandike, kwa style hii vijana wataendelea kudharauliwa
 
Wewe ndilo lipuuzi! Unafikri hao wanaitwa wasimamizi wa uchaguzi wanatoka ofisi gani? Lini time iliajiri watu wa kusimamia uchaguzi? Ukisikia mtumishi wa umma anaenda kusimamia uchaguzi huyo yuko kwa DED! Unaweza kutueleza walioajiriwa kwa ajili hiyo?
 
Hiyo tume ya CCM usitegemee kupata chochote pale.
 
Kwamba ina uhuru wa kufanya kazi zake,au jina lake haliendani na tafsiri yake ukitegeme mgombea mmoja ndiye anayeteuwa viongozi wake?na kwa nini iitwe tume huru?
 
Back
Top Bottom