GE2025 Tume huru ya Uchaguzi yetu imejaa maigizo

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Manjagata

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2012
Posts
16,456
Reaction score
18,489
Inayoitwa tume huru ya uchaguzi inatuona sisi ndezi!

Yaani eti kati ya vitu vyote vya kuweka uwanja sawa kwa wagombea imeona kugawa magari ndiyo njia mwafaka! Kwa nini inapata kigugumizi kuamua kwenye reforms za uchaguzi?

Sisi tunalia na DEDs kiwa wasimamizi wa uchaguzi mbona haisikii? Kama kuweka uwanja sawa kwa nini wengine wamefungwa mikono na miguu?
Screenshot_20250827-190813_Opera News.jpg
 
Inayoitwa tume huru ya uchaguzi inatuona sisi ndezi!

Yaani eti kati ya vitu vyote vya kuweka uwanja sawa kwa wagombea imeona kugawa magari ndiyo njia mwafaka! Kwa nini inapata kigugumizi kuamua kwenye reforms za uchaguzi?

Sisi tunalia na DEDs kiwa wasimamizi wa uchaguzi mbona haisikii? Kama kuweka uwanja sawa kwa nini wengine wamefungwa mikono na miguu?View attachment 3455234
Unahisi umeandika kama mtu mwenye akili au kama kijana wa kiume anayeishi kwa dadaake aliyeolewa?
 
Inayoitwa tume huru ya uchaguzi inatuona sisi ndezi!

Yaani eti kati ya vitu vyote vya kuweka uwanja sawa kwa wagombea imeona kugawa magari ndiyo njia mwafaka! Kwa nini inapata kigugumizi kuamua kwenye reforms za uchaguzi?

Sisi tunalia na DEDs kiwa wasimamizi wa uchaguzi mbona haisikii? Kama kuweka uwanja sawa kwa nini wengine wamefungwa mikono na miguu?View attachment 3455234
Mods acheni hizo! Mimi sijasema kwenye heading yangu kwamba ni "tume huru"
 
Huu ni ushenzi tu, ni kuharalisha matumizi ya Fedha haramu
 
Inayoitwa tume huru ya uchaguzi inatuona sisi ndezi!

Yaani eti kati ya vitu vyote vya kuweka uwanja sawa kwa wagombea imeona kugawa magari ndiyo njia mwafaka! Kwa nini inapata kigugumizi kuamua kwenye reforms za uchaguzi?

Sisi tunalia na DEDs kiwa wasimamizi wa uchaguzi mbona haisikii? Kama kuweka uwanja sawa kwa nini wengine wamefungwa mikono na miguu?View attachment 3455234

..kwanza sio Tume Huru.

..Mwenyekiti na Makamishna hawajapatikana kwa mujibu wa mchakato ulioko ktk sheria ya Tume Huru.

..Raisi amesaini Sheria mpya ya Tume Huru halafu kumechomekwa kifungu kwamba Mwenyekiti na Makamishna hawatabadilishwa mpaka wamalize muda, yaani 2030.
 
Back
Top Bottom