Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 79,027
- 168,631
ndetichia hebu klich hapatunaotumia mchina hatuoni embu fanya makeke mkuu Bujibuji
baridi bado watu wengi muda huu bado hawajapata motoNikisema watu wanaanza kuchanganyikiwa hamnielewi oneni sasa yanayotokea
Huu wimbo zamani walikuwa wakichezea blues kwenye harusi.
nakumbuka mwaka 90 nikiwa mdogo, mama yangu mdogo alicheza blues kwenye harusi yake wimbo huu.
hivi arushaone hiyo avatar ndio wewe??
Nikisema watu wanaanza kuchanganyikiwa hamnielewi oneni sasa yanayotokea