SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 4,800
- 8,989
Tumbo linakata sina mimba ila naharisha sana kichwa kinauma, shida inaweza kuwa ni nini???
Apime ngwengwe hizo ni moja ya dalili zake..!! 😹
Wahi hospitali ya kuaminika iliyo karibu.Tumbo linakata sina mimba ila naharisha sana kichwa kinauma, shida inaweza kuwa ni nini???
Wahi hospitali kabla hujaishiwa nguvu, hakikisha unanawa mikono na sabuni Kila unapotoka msalani.Tumbo linakata sina mimba ila naharisha sana kichwa kinauma, shida inaweza kuwa ni nini???
Kawaida kwa binadamu muhimu azingatie tiba sahihi.Imagine mrembo yeyote na uzuri wake awe anaharisha pyaaah pyaah!
Hili pia ni nenoSina neno
Tumbo linakata sina mimba ila naharisha sana kichwa kinauma, shida inaweza kuwa ni nini???
nenda kafanye hivi kwenye station ya train afu uje kunishukuru![]()