Gulio Blog
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 3,056
- 4,124
mimi nimepimwa choo nikakutwa na amiba nimemaliza dawa bado tumbo linaunguruma muda mwingine nahisi kama maumivu yamgongo kuchoma kuchoma kwa mbali sijui kipimo cha endoscopy shiling ngapi sina pesa aiseeMh utakuwa na vidonda mmi nasumbuliwa na hali hyohyo juzi tu nimeenda pima nimekutwa na vidonda vya tumbo kapime kwanza
Bado sijakuelewa ndugu, please kama unaweza kunidadavulia kidogo kuhusu hiyo soda water?Soda water
AhsanteKunywa maji ya kutosha kabla na baada ya KULA ama kufanya TENDO LA NDOA....
Jizoeshe hivyo na utayaona mabadiriko...
Ila tumbo halijawahi kuumaHiyo ni ngiri mzee
Hiyo ni gesi unakaa muda mrefu pasipo na kula tumbo linaingia hewa ya gesi kunywa maji ya Uvuguvugu kila wakati na ule punje 2 za kitunguu saumu meza na maji ya uvuguvugu gesi itakwenda zake.Habari zenu ndugu zangu:
Naombeni msaada wenu juu ya hili swala, ni kwa muda mrefu tumbo huwa linaunguruma haswa wakati wa usiku kukiwa na baridi...
Ahsante hii inawezekana mana huwa naona uvivu kula mpaka nikajihisi nna minyoo, itabidi nifanye hivyo na niwe najilazimisha kula japo huwa sipati hamu ya kula hata njaa inapouma but kama ndio sababu itanibidi nijilazimishe huku nikiendelea na hyo dawaHiyo ni gesi unakaa muda mrefu pasipo na kula tumbo linaingia hewa ya gesi kunywa maji ya Uvuguvugu kila wakati na ule punje 2 za kitunguu saumu meza na maji ya uvuguvugu gesi itakwenda zake.
Kapime Minyoo huend unayo Minyoo inayo kusababisha usisikie njaa unaweza kula nyanya mbichi ukatia kidogo na unga wa pilipili mtama ukala inasaidia kuuwa minyoo iliyo tumboni.Ahsante hii inawezekana mana huwa naona uvivu kula mpaka nikajihisi nna minyoo, itabidi nifanye hivyo na niwe najilazimisha kula japo huwa sipati hamu ya kula hata njaa inapouma but kama ndio sababu itanibidi nijilazimishe huku nikiendelea na hyo dawa
Kunywa Maji ya Uvuguvugu na punje 2 za kitunguu saumu gesi itakwenda zake tumia kutwa mara 3 kw siku 3Naomba msaada Niko na shida ya tumbo kuunguruma hasa wakati wa usiku nimetumia dawa ya miyoo lakn wap bado siharishi hata midogo
Sent from my VFD 200 using JamiiForums mobile app
Mkuu mzizi mkavu, nina tatizo na kuwa kila nikikojoa nahisi makalioni kuna chomachoma mpaka karibu na kiuno.Kunywa Maji ya Uvuguvugu na punje 2 za kitunguu saumu gesi itakwenda zake tumia kutwa mara 3 kw siku 3
kapime kwanza hospitali figo lako je lipo sawa? kama hawajaona kitu utakuwa una mambo ya uchawi mwilini mwako. Kuhisi vitu vinatembea mwilini mwako itakuwa ni Dalili ya mambo ya uchawi huenda pia una shetani mbaya anaye kusmbuwa mwilini mwako. jichunguze pia unapo lala usiku huwa unaota ndoto za aina gani?Mkuu mzizi mkavu, nina tatizo na kuwa kila nikikojoa nahisi makalioni kuna chomachoma mpaka karibu na kiuno.
Alafu sometime najiona kama kuna vitu vinapitapita mwilini haswa kwenye mbavu,tumboni,mgongoni na hata miguuni pia.
Ahsante sanakapime kwanza hospitali figo lako je lipo sawa? kama hawajaona kitu utakuwa una mambo ya uchawi mwilini mwako. Kuhisi vitu vinatembea mwilini mwako itakuwa ni Dalili ya mambo ya uchawi huenda pia una shetani mbaya anaye kusmbuwa mwilini mwako. jichunguze pia unapo lala usiku huwa unaota ndoto za aina gani?