Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,104
- 34,926
umekunywa maji ya moshi ambayo tumezoea kukinga tu kwenye bomba na kuendelea,pia pale moshi zile mboga mboga zinazouzwa mjini pale wanatumia ngao (dawa ya kupuliza mbu) ktk kukuzia mboga2 mashambani.acha kabisa kula ovyo
kwa sasa wewe unasumbuliwa na gesi nyingi sana tumboni.
CHA KUFANYA............nenda kapime choo ktk hospitali zinazoeleweka, usitumie dawa za gesi,kwani gesi ni matokeo ya constipation
..................................nenda pale mombasa stoo mjini moshi karibu na NMB mandela.au watafute wamasai
huna tatizo la nguvu za kiume kama huyo kiungo cha kujisaidia alivo comment hapo juu...nin hiyo gesi tu labda yeye ndio chakula/shoga.
ndio hizo dawa zinapatikana kwenye maduka ya Dawa hapo Kariakoo Asali upate yenye nyuki Wakubwa sio wadogo tena hiyo asali upate mbichi safi isiyochanganywa na sukari mkuu. Kwani wewe asali ukila inakudhuru?Mzizimkavu hizo dawa zinapatikana ktk maduka ya kawaida ya madawa na je hiyo asali ni nyuki wadogo au wakubwa? Na asiyetumia asali afenyeje?
GESI TUMBONI (COLIC):
Ikiwa mtu atakula kwa wingi vyakula vinavyoleta
gesi halafu vyakula hivyo visisagike vizuri
tumboni, hukusanya gesi tumboni na kufanya
mingurumo humo na kumsababishia maumivu,
humkosesha mtu utulivu na kumfanya kutoka
jasho na machovu bila ya kufanya kazi.
Mtu hujisikia mara kwa mara aende haja kubwa na
akienda hapati choo. Pia humsababishia mtu
kuumwa kwa mgongo au kiuno.
Ikiwa gesi hii itakosa kutoka kwa njia ya haja
kubwa, basi yaweza kupanda juu na kufanya
presha sehemu au karibu ya moyo na kusababisha
maumivu ya moyo.
TIBA:
Chukua Asali safi mbichi iwe ya Asali ya nyuki robo lita , unga wa arki susi vijiko
vitatu vikubwa na unga wa habat soda vijiko viwili
vikubwa. Koroga zote pamoja kwa kijiko. Chukua
vijiko viwili vya mchanganyiko huu ukoroge ndani
ya kikombe cha maji ya moto halafu yakishapoa
unywe kikombe kimoja kutwa mara mbili asubuhi
na jioni.
ndio hizo dawa zinapatikana kwenye maduka ya Dawa hapo Kariakoo Asali upate yenye nyuki Wakubwa sio wadogo tena hiyo asali upate mbichi safi isiyochanganywa na sukari mkuu. Kwani wewe asali ukila inakudhuru?[/QU Ahsante mkuu ila mie asali inanidhuru maana hata nikiona tu natapika bila hata kuila . Labda kama kuna tiba mbadala
Ukiwa unakula kila siku Maharage,Viazi, ukitumia kila siku Vitungumaji vibichi unaweza kupatwa na gesi tumboni.Ni vyakula gani ambavyo vinasababisha sana gesi kujaa tumboni?.
Tumia Dawa hii kama una ugonjwa wa Gesi Gesi Na Maumivu:ndio hizo dawa zinapatikana kwenye maduka ya Dawa hapo Kariakoo Asali upate yenye nyuki Wakubwa sio wadogo tena hiyo asali upate mbichi safi isiyochanganywa na sukari mkuu. Kwani wewe asali ukila inakudhuru?[/QU Ahsante mkuu ila mie asali inanidhuru maana hata nikiona tu natapika bila hata kuila . Labda kama kuna tiba mbadala
bugia unga laini wa Habbat-Sawdaa kiasi cha kijiko kimoja kabla ya kula chakula ukichanganya na gilasi ya maji yenye vuguvugu iliyotiwa asali ya muwa kiasi cha vijiko vitatu; fanya hivyo kila siku kwa muda wa wiki moja.
asante kwa ushauri wakonendo hisp ukapime pengine ni dall za vidonda vya tumbo!minyoo na nk
sent from my blackberry 9780 using jamiiforums
Hujatuambia wewe kwanza ni Mwanamme au Mwanamke? mbona unatuchanganya? Nijuavyo mimi kuhusu ( Chango la tumbo ni ugonjwa wa wanawake) sasa wewe niWanaJF,
Tafadhalini niambieni nini husababisha tumbo kuunguruma mara kwa mara hata kama mtu amepimwa vipimo vyote hospitalini na kuonekana kuwa hana minyoo au vidonda tumbo ambavyo mara nyingi husemekana kusababisha tumbo kujaa gesi na kuunguruma!
Je,ni kweli kuwa kama mtu ana matatizo ya tumbo kuunguruma mara kwa mara awapo faragha na mwenzi wake inaweza kuwa ni chango? (Chango la tumbo ni ugonjwa gani na tiba yake ni nini?) Je,chango la tumbo linaweza kusababisha madhara ya upungufu wa nguvu za kiume au kike na wakati mwingine kukosa kabisa uwezo wa kuzalisha?
Nawasilisha kwenu wataalamu,MziziMkavu na wadau wote.