Kwa takriban mwezi mmoja sasa tasnia ya Muziki nchini Marekani imekuwa kwenye hatua za Back to Back kutoka kwa Mastaa wa Hip Hop, Drake na Kendrick Lamar ambao wamekuwa wakichapana Diss Track kila siku.
Sasa hebu tumalize hili jambo kwa idadi ya ngoma zilizotoka na kilichoimbwa, nani kapotezwa mpaka sasa?