Tumaini Hospital - karaha kwa wagonjwa

Tumaini Hospital - karaha kwa wagonjwa

Vipi mkuu walishamuondoa au alilala hapo hapo
 
manesi wa Tumaini wana lugha chafu, hasa ward ya wazazi, sina hamu nao.
Hata mimi nakumbuka kuna dada yupo mapokezi ya kule kwa madokta,kuna siku alichelewa kufika ,halafu anafika tu anaanza kuuliza mwaswali ya hovyo.baada ya kuanza kazi anatoka anaenda sijui kunywa chai, wanaboa kiukweli kabisa.
 
Ma dokta wengi pale ni deiwaka tu ile sio hospitali ya kupeleka mgonjwa wako kbs! Tumaini ilikua zamani sio sasa! Na hivi mmoja ya waasisi wake prof mtulia amefariki ndio hali inakua tete zaidi
 
Back
Top Bottom