We Muro umeenda OP,mleta mada anaongelea utapeli,uzandiki wa mtu kuomba mkate akapewa jiwe,wewe unakuja na mada mpya ya kulinganisha ubora wa kozi na kozi...umechemka kiongozi,kuna baadhi ya vyuo ambavyo ni sawa na tuition centres,havina ratiba,havina waadhiri,havina course outlines n.k yaani balaa,alafu cha ajabu unamkuta VC anahold PhD,inakuwa sinema kama za akina Rambo,
acheni ukanjanja,ubabaishaji,wekeni kozi mnazojua mtaweza kufundisha siyo kuleta siasa kwenye elimu,tena at the intellectual level,na bado mnatoa elimu at that expenses