Tuma sms Bure Leo tar 18/7/2014 - Tigo

Msamiati

R I P
Joined
Mar 6, 2011
Posts
1,063
Reaction score
700
Tigo wameamua kuwapa ofa wateja wao leo kwa sms za bure mpaka saa 6 usiku. Enjoy
 
TiGo banaaaaa....ni shidaaaaa...watoto wa mjini haaooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…