Lakini vitu alivyotamka kutoka ktk kinywa chake mabasha zako mpk leo wanavifanyia kazi na wanashangaa mtu asiejua kusoma wala kuandika kusema jambo la kisayansi lilifanyiwa kazi na jopo la wanasayansi wakaumiza na vichwa ww unae jua kusoma na kuandika umefanya nini ktk dunia hiii jiulize hili swali