Friends corner - Uswahilini Arusha ni balaaKatikati ya jiji Kaloleni Chuga, Nyamagana Mwanza, Kabwe Mbeya au Posta Dar?
Kote hukoKatikati ya jiji Kaloleni Chuga, Nyamagana Mwanza, Kabwe Mbeya au Posta Dar?
Sawa ila.... Bajaji na bodaboda ndio jeshi letu la kutuvusha kwenye chaguzi! Ukifanya mistake, mpinzani wako anachukua credits. In short, hizo "laana" zimegeuka siasa hakuna anayethubutu kuchukua maamuzi.
Mnakumbuka kiongozi mmoja alivyojitwalia sifa (akiwa Arusha) mara baada ya kauli ya Lema kuhusu kazi ya "laana"? Hadi akaenda kupokea maandamano yao wakati kimsingi ndiye alitakiwa awe wa kwanza "kuweka miji safi". Kuna kitu hapo?