Tuliza ball, be patient..

Snipes

JF-Expert Member
Jul 2, 2013
9,109
16,681
wale wenye haraka ya kuolewa inawahusu.
Madonna alikuwa na miaka 55 alipata mume mwenye miaka 22
Tiner Turner miaka 70 mume 42
J. Lo miaka 42 boyfriend miaka 26
Mariah Carey miaka 44 mume miaka 32
Shakira miaka 40 mume miaka 30

binti ndio kwanza una miaka 25 unalalamika hujapata mume hutulii Love Connect ila usimlaumu Mungu inawezekana kabisa sasa hivi mume wako ndo kwanza anaanza form one....stay calm

[HASHTAG]#WapostPumba[/HASHTAG]
 
Hao waume wa Shakila, Mariah , Tinna, JLo; hakuna wa kufanana nao hapa TZ.
 
Ngoja ngoja yaumiza matumbo.........lkn chelewa chelewa utakuta mwana si wako.......akina dada akili kichwani mwenu
 
Mbona hujatoa mfano wowote kutoka Tanzania? Maana hao mabinti unaowaongelea wengi wao n Watanzania.
Zari - Diamond
Mrs Jamal (MB) - Jamal
Shyrose - Jaffarai
Madam matalent - Ali K
Madam Flora - Kussekwa
Khadija Kopa - (jina kapuni)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom