Boogman
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 2,402
- 5,500
Hii hazina nimeitunza vyema!
Hii hazina nimeitunza vyema!
Namba 1 siyo Tanzania. Ni Tanganyika.
Umemtambua nani hapoView attachment 2289459
Watoto wanajuana sana mpaka sasa.Zamani tulikua tunajua hadi wa watoto wa mtaa wa tatu. Sababu ya mpira kwa wadada ilikua rede ila siku hizi hata jirani yako unaweza usimjue
Nimejicheka balaaaaa nilivyokua nauimbaa huu wimbo jamanii utasema maneno ya jaiving hayaeleweki daah asante saaaanaaa.