masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,899
- 15,126
Samahani mkuu,ina maana hukufa?
alikufa..sema akapata second chance kukuletea wewe habari
Soma kwa sauti kichwa cha sredi!Samahani mkuu,ina maana hukufa?
Mkuu Mungu hakutuacha, ndiyo maana hata kichwa cha sredi, nimempa utukufu.Badala ya kumshukuru mungu, unakimbilia kupiga picha
Mkuu ujasiri ni muhimu. Mtu anayepanic anakufa mra mbili, na hata akiwa na bunduki kujilinda atajigeuzia na kujipiga sababu ya kuchanganyikiwa.Najiuliza katika hali ya taharuki kama hiyo ni wapi mtu anapata ujasiri wa kupiga picha?
Kama ameweza hii ina maana hata akivamiwa na jambazi nyumbani anaweza kujikakamua na kuachia ...shikamoo kaka jambazi, naomba kupiga nawe picha kabla hujaniibia! One snap please halafu nitakusaidia kutoa vitu nje!
Wewe muoga tu, hapo unaogopa nini wakati magari uliyopiga picha yapo pande mbili tofauti tena yanapishana! hapa ninge kuelewa iwapo kama wewe ungekua upande tofauti na hayo malori yapo upande mmoja halafu wanataka ku overtake each other hapo ningekusoma vizuri. Ila hapa nimejifunza kuwa wewe una gari, pia simu yako inaweza kupiga picha baasi.
Du!Wewe muoga tu, hapo unaogopa nini wakati magari uliyopiga picha yapo pande mbili tofauti tena yanapishana! hapa ninge kuelewa iwapo kama wewe ungekua upande tofauti na hayo malori yapo upande mmoja halafu wanataka ku overtake each other hapo ningekusoma vizuri. Ila hapa nimejifunza kuwa wewe una gari, pia simu yako inaweza kupiga picha baasi.
Wakuu nilisevu huu mzinga maeneao ya misitu ya Sao Hill.
Jamaa wa scania walikuwa wakionyeshana ubabe wa kukimbiza madude yao barabarani.
Ajali nyingine kwa kweli za kuzitengeneza.
Ilibidi sie tutoke nje kabisa ya barabara kuepuka shari.
Nilitaka kuacha ushahidi, kwamba hata nikisambaratishwa na hilo gari na mimi ndo nimerudi kwa udongo, ingalau ushahidi upo wa kile kilichotokea.Hiyo camera uliikumbuka kumbuka je?